Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

primary green acres,o'level loyola,a'level st.joseph co mshamba wa dar..

mwana aru(uclas) mwenzangu kumbe ww wa kishuaa duuh yaan hatuendan kabisa me prmry shule ya msing yombo, o' level pugu, a'level ndanda boys! Chuo aru(uclas)!! Ila co mbayaaa tutakunaa chuo...!!"school of construction economics and management(scem)" overrrrr
 
sawa darius pamoko xana...
 
Mods please angalieni hili jukwaa la elimu vizuri,linashuka hadhi siku baada ya siku!hawa watoto badala ya kudiscuss ya maana wanaongea utumbo tu
Inasikitisha sana,
We bwa mdogo nenda chuo kasome acha ujinga,utadisco urud shamba kwenu
 
Dunia haina uhaba wa MAMBWIGA,tena wa level za juu.

Na wewe utataka uitwe msomi...au wataka tujue unaenda chuo kikuu?

Acha swaga za kishamba!
 
Jamani anayesoma ardhi aniPM

MMSent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hufai kuja "AR" Nenda ustawi, cbe, tsj,Ifm...huku ni "intégration tu"
 
Nyie ndo mnanunua vyeti AF mnaisumbua Tz kwa uvihiyo wenu, badala uulizie wakufunzi we unataka mademu, mchangiaji mmoja kauliza kwenu wapo wengi? Nafkiri amekufaa sana
 
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...

Njoo DIT
 
primary green acres,o'level loyola,a'level st.joseph co mshamba wa dar..

hakuna wa kumdanganya hapa we kiazi......kwa ushamba uliouonesha hapa lazima utakua unaishi ngudu au kwimba ndaaaaani sana
 
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...

Dogo acha upuuzi. Nenda kasome, mademu hawaishi duniani bana.
 
hapo mademu hamna labda UDSM kuna mademu wa kutosha tna waukweli hasa pale CASS
 
Back
Top Bottom