Icadon,
Kwenye ile thread ya RO na TISS tulivyokuwa tunauliza ni vipi TISS iliachia tukaingia mikataba mikenge na hata nchi kuhujumiwa, kuna watu ambao leo hii ni vinara kumkaba koo Ballali walisema jukumu la kulinda maslahi ya uchumi si la TISS.
Sasa jiulize je kama hivyo ndivyo si jukumu lao, basi kwa nini TISS wamtafute Ballali au waanzishe uchunguzi kuhusu Ballali?
THEY SAY YOUR SUPER MODERATOR BUT YOU DONT LOOK LIKE, YOU LOOK LIKE CHEAP VEGETABLE WHO DONT REASON, JF IS NOT A COURT OF LAW,IT IS A FORUM WHERE BY WAUGWANA THEY DISCUS NOT OLNILY THE -VE SIDE BUT ALSO THE POSITIVE, KAMA NDIYO HIVYO HATA SHY NI SUPER MODERATORUna-sound kama una undugu naye au uko kwenye payroll yake!
Unafanya kazi kwenye bakery yake nini?
Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni,jamani Don Apson Amepiga Mzigo Kama Hamjui Katika Vipindi Vyote Vya Awamu , Za Uongozi Mtu Aliyefanya Idara Iwe Na Sura Inayo Elezeka Ni Don Apson,marehemu Alipeleka Likizo Adara Molali Ya Vijana Iliwisha, Hata Magazeti Hayakuwapo Kila Kitu Alifanya Yeye Magari Mazuri Yeye Na Mkewe,alipokuja Don Apson,fika Victoria Maafisa Wana Makazi Ya Kisasa,siyo Vile Vijumba Vya Tanu Yajenga Nchi Don Apson, Mtu Wa Ma Cv, Kama Una Cv, Utaula Tu,si Mchoyo Wala Hana Hiyana Ana Haki Ya Kucheza Vyovyote Vile Iwe Double Lazim Mujuwe ,politics Ni Kamali Bwana Uweki Sehemu Moja,ndiyomaana Mimi Na Wewe Hatuko Kwani Twaogopa Kuliwa,wewe Nenda Ukaulize Pale Idarani Watakwambia Mshua Alikuwa Bomba, Ndiyo Mshua Anapesa Anafanya Bisssnes Mbeya Kuna Bekari Inalisha Mkowa,mbozi Kuna Kahawa. Don Anaakili Nzuri Ya Kuivest On And On Hamwezi Kupata Fingerprint Za Don Apson Kwenye Lolote Mnalojadili Hapa ,hakuna Ushahidi Kwani Hawezi Kujihusisha Na Ujinga Huo,sina Mengi Sina Mengi. Bacio La Mano Don Apson Mwangonda,chen Dannay
Una-sound kama una undugu naye au uko kwenye payroll yake!
Unafanya kazi kwenye bakery yake nini?
Sasa huyo Don alikuwa wapi wakati wanamlipa Vithlani Bilioni 21? alikuwa wapi wakati wakati nchi inatekewa nyara? apotelee mbali na udon wake..akawadonoe hao hao wanamuangukia!
Kwa kuangalia mali alizojilimbikizia, nadhani Don ni fisadi, na hasa ukizingatia ile idara pesa zake huwa haziwi accountable, na ndio maana Ballali alimwambia Meghji weka saini hapa heka zinaenda kwa idara ya Don, halafu Meghji akasaini bila kuuliza.
Lakini Don hakuwa na majukumu ya kukamata wala rushwa!
Hizo ni kazi za IGP, PCCB, DPP, AG, na DCI.
Sasa kama unasema inabidi ziwe kazi za kina Don, hilo ni swala lingine, linalohitaji kubadili sheria kwanza.
sasa intelligence agency ambayo haina uwezo wa kukamata watu ni intelligence ya nchi gani?
Tutofautishe kuwa na uwezo wa kukamata watu na kuwa na majukumu ya kukamata mafisadi.
Ha ha, I can't help it, nimecheka sana baada ya kusoma hiyo statement.....!!!Sasa huyo Don alikuwa wapi wakati wanamlipa Vithlani Bilioni 21? alikuwa wapi wakati wakati nchi inatekewa nyara? apotelee mbali na udon wake..akawadonoe hao hao wanamuangukia!
hii tofauti haipo.. yaani mtu mwenye uwezo wa kukamata asiwe na majukumu na yule mwenye majukumu hana uwezo..? internal contradictions kama hizi zinaweza kumfanya mtu asikie kizungu zungu. Je TISS ina uwezo wa kukamata mafisadi?
Kama hawana majukumu ya kukamata kwa nini wainvestigate ukisikia kufuja pesa za umma ndio uku sasa...DCI apeleleze, PCCB wapeleleze, TISS nao wapeleleze...si ajabu DMI nao wakiwa na interests wanaweza kupeleleza as well.?Ebo!!!
TISS haina majukumu ya kukamata mafisadi. Kuuliza kama ina uwezo hilo swali ndio kizungu linaitwa moot. Kwamba halihusiki. Kama sio kazi yao, basi haijalishi kama wana uwezo au hawana!
Afisa wa Usalama wa Taifa ambaye ana uwezo wa kusimamia usalama wa Taifa kwa mujibu wa sheria ya Usalama wa Taifa na ambaye anatakiwa kuhakikisha hakuna sabotage n.k basi ni wazi pia kuwa anajukumu la kusimamia hiyo sabotage haifanyiki. Hivyo, Afisa wa UT akimkuta mtu amebeba silaha au ana ramani za siri za maeneo nyeti basi hatakiwi kumchunguza na kumuacha aende hadi ampate ofisa wa Polisi aje kukamata. Hivyo ni jukumu lake kuhakikisha usalama wa Taifa.
Ndio maana nadhani sisi wengine tunasumbuliwa sana na usalama wa Taifa usio weza kusimamia usalama wa Taifa. Miye nadhani usalama wa Taifa by default wana jukumu la kulinda usalama wa Taifa siyo kama kwa bahati mbaya bali kutokana na asili ya uwezo wao.
Aisee!!,Hii tungo kiboko bwana.naelekea kufikiri kama wakapewa TMK,Wanaume Family,basi hiyo single itauza sana.....Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni,jamani Don Apson Amepiga Mzigo Kama Hamjui Katika Vipindi Vyote Vya Awamu , Za Uongozi Mtu Aliyefanya Idara Iwe Na Sura Inayo Elezeka Ni Don Apson,marehemu Alipeleka Likizo Adara Molali Ya Vijana Iliwisha, Hata Magazeti Hayakuwapo Kila Kitu Alifanya Yeye Magari Mazuri Yeye Na Mkewe,alipokuja Don Apson,fika Victoria Maafisa Wana Makazi Ya Kisasa,siyo Vile Vijumba Vya Tanu Yajenga Nchi Don Apson, Mtu Wa Ma Cv, Kama Una Cv, Utaula Tu,si Mchoyo Wala Hana Hiyana Ana Haki Ya Kucheza Vyovyote Vile Iwe Double Lazim Mujuwe ,politics Ni Kamali Bwana Uweki Sehemu Moja,ndiyomaana Mimi Na Wewe Hatuko Kwani Twaogopa Kuliwa,wewe Nenda Ukaulize Pale Idarani Watakwambia Mshua Alikuwa Bomba, Ndiyo Mshua Anapesa Anafanya Bisssnes Mbeya Kuna Bekari Inalisha Mkowa,mbozi Kuna Kahawa. Don Anaakili Nzuri Ya Kuivest On And On Hamwezi Kupata Fingerprint Za Don Apson Kwenye Lolote Mnalojadili Hapa ,hakuna Ushahidi Kwani Hawezi Kujihusisha Na Ujinga Huo,sina Mengi Sina Mengi. Bacio La Mano Don Apson Mwangonda,chen Dannay