Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,883
- 25,272
Nikopeshe afuhamsini
Sina mkuu. Mimi pia nadaiwa Nipige Tafu. 😊
Nikopeshe afuhamsini
Najinyongea kamba ya kataniSina mkuu. Mimi pia nadaiwa Nipige Tafu. 😊
lipa deni la watu gentleman acha visingizio bana,
yaani wakati unakopa pesa na kutumia hizo Aps hazikua na tatizo,
ila wanapodai marejesho ndio imekua udhalilishaji etii eee?
ama kwa hakika,
kukopo sherehe kulipa matanga.
Gentleman,
ingekua umekopa benki na umekwepa kulipa na watu wa benki wakaja kuuza nyumba yako kwa kukutoa ndani kwako kwa lazima, nayo ungesema ni udhalilishaji? au hakuna vitu kama hivyo kwa wakwepa marejesho?
ustaarabu ni kukopa na kulipa.
kumbuka usiku wa deni haukawii kulipa,
na dawa ya deni ni kulipa na sio kukimbia na kukwepa kupokea simu kwa makusudi![]()
Wananchi mmeambiwa na serikali msikope kwenye hizo Apps halafu mnaendelea, kama sio dharau ni nini? Nyie wakopaji mnapata wapi ubabe wa kupuuza maelekezo ya serikali? Ndugu ishi kulingana na kipato chako ili uepuke mikopo. Au fanya hata vibarua vya hapa na pale uongeze kipato badala ya kukopa.Hizi apps zote zinazowanyanyasa Wananchi zimezuiliwa na BOT kufanya kazi hizo za kutoa mikopo mitandaoni ( Ingia wavuti wa BOT utaona) lakini bado zinaendelea kufanya kazi kama Kawa. Hii siyo dharau kweli Kwa serikali? Huu ubabe wanaupata wapi? Au hao watumishi wa BOT ndiyo wamiliki wa hizo apps? Au wanakula ganji? Kwa kweli maswali ni mengi tu na majibu hakuna. Natarajia hii serikali sikivu italifanyia kazi Jambo hili haraka sana.
Najinyongea samba ya katani
Aisee nimesoma nikashangaa sana. Tatizo pia wakopaji usipokuwa mnoko hawalipi.😹😹😹 Umaskini mbaya sana.
Mkuu lipa deni kwa huo utaratibu wao wa kukutangaza unajiuza ni mbaya sana!!
Hizo hela piga,tulia,acha wapige mayowe,mi nishazipiga sanaHabari za kazi ndugu zangu.
Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza riba kubwa kupita kiasi kwenye mikopo wanayotoa.
Sina uhakika kama kampuni hizi zote zimesajiliwa na BOT au mamlaka husika kama watoa huduma za kifedha, au kama kuna baadhi zinafanya kazi kiholela. Kama hazijasajiliwa, swali ni kwanini bado zinaendelea kufanya kazi huku wananchi wengi wakilalamika kila siku kuhusu unyanyasaji wanaoupata?
Pia kumekuwa na taarifa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu baadhi ya apps hizi kutumia lugha za matusi, vitisho, kusambaza taarifa binafsi za wakopaji, na kuwasumbua ndugu pamoja na marafiki zao kupitia simu na ujumbe wa kudhalilisha.
Mfano ni app inayojulikana kama PESA SASA, pia wakijiita Benefit Pesa au SUN Microfinance. Kuna mtu alikopa na kulipa kwa muda hadi kiwango cha mkopo kikafika laki 6, lakini kabla hata siku ya malipo haijafika akaanza kudaiwa zaidi ya milioni 1.1 huku riba ikiendelea kuongezeka kila siku. Mbaya zaidi, baadhi ya watu wanaompigia wanatumia lugha za matusi, vitisho, na wanakataa hata kukutana ofisini kwa maelezo rasmi, badala yake wanasisitiza malipo yafanyike haraka kupitia simu.
Cha kushangaza zaidi, app yenyewe kwa sasa haionekani tena Play Store, lakini usumbufu na madai bado vinaendelea.
Naomba mamlaka husika kama BOT, TCRA, Jeshi la Polisi pamoja na serikali yetu kwa ujumla zifuatilie kwa karibu suala hili ili kulinda wananchi dhidi ya unyanyasaji wa kifedha, ukiukwaji wa faragha, na matumizi mabaya ya teknolojia.
TCRA pia waangalie namna ya kudhibiti apps zenye malalamiko mengi ya unyanyasaji kwa wananchi, kwani zimekuwa zikiongezeka kila siku.
Baadhi ya namba zinazotumika kupiga simu, kutuma vitisho au kusambaza taarifa za watu ni hizi hapa chini:
0699021753
0695544280
0699065333
0681134436
0780577136
0696439372
0685698283
0789035161
0620887778
0791410250
0692657345
0695488192
Ukiangalia vizuri utaona namba hizi ni mpya kabisa, jambo linaloibua maswali kuhusu utaratibu wa usajili wa line na matumizi yake. Je, kampuni zinaweza kusajili line nyingi kwa matumizi ya aina hii bila udhibiti wa kutosha?
Tusaidiane kupaza sauti dhidi ya unyanyasaji huu ili wananchi wasiendelee kuumizwa kwa kisingizio cha mikopo ya haraka, maana tumeskia pia hawa watu wanatumia njia hii kama Money Laundering(utakatishaji fedha haramu).
View attachment 3596226View attachment 3596227
View attachment 3596228
Umekataa kunikoposha kwa kisingizio unadaiwaKwanini ujinyonge msichana mzuri sana wewe. 😊
Naomba mkopo🤣lipa deni la watu gentleman acha visingizio bana,
yaani wakati unakopa pesa na kutumia hizo Aps hazikua na tatizo,
ila wanapodai marejesho ndio imekua udhalilishaji etii eee?
ama kwa hakika,
kukopo sherehe kulipa matanga.
Gentleman,
ingekua umekopa benki na umekwepa kulipa na watu wa benki wakaja kuuza nyumba yako kwa kukutoa ndani kwako kwa lazima, nayo ungesema ni udhalilishaji? au hakuna vitu kama hivyo kwa wakwepa marejesho?
ustaarabu ni kukopa na kulipa.
kumbuka usiku wa deni haukawii kulipa,
na dawa ya deni ni kulipa na sio kukimbia na kukwepa kupokea simu kwa makusudi![]()
Umekataa kunikoposha kwa kisingizio unadaiwa
Tembelea website ya bot.go.tz kuna orodha ya application zilizoruhusiwa. Kama hiyo haipo kaa kimya hawatakufanya kituKama deni lina'make sense ni sawa unalipa, sasa kuna mtu alikopa 15,000 tu anakuja kuambiwa alipe 43,500 ni sawa? Na point ya msingi ni uwepo wao kisheria na hiyo mandate ya kutukana watu na kusambaza taarifa mitandaoni ni sawa?
Mtu akiwa na shida haina maana mtu mwingine atumie hiyo kama advantage ya kufanya vitu vya ajabu.
wewe utazima simu kabisa na kutupa laini baada ya kukopaNaomba mkopo🤣

Hawa wa mtoa wanataka kumuua mwenzao kwa presure🤣🤣Maana yake sina kitu, hata mimi nadaiwa, sema hawa wanaonidai sio wadhalilishaji kama hawa wa mtoa mada. Tunadaiana kistaarabu. 😊
Huniamini kiasi hiki🥹wewe utazima simu kabisa na kutupa laini baada ya kukopa![]()
uko sahihi 100% gentlemanNaamini hakuna anaelazimishwa kukopa huko! Yeye alipe tuu, mambo yasiwe mengi. 😊

Hawa wa mtoa wanataka kumuua mwenzao kwa presure🤣🤣
uje na cheti halisi cha form4 chenye muhuri wa mwanasheria mkuu wa serikali, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida na cha kupigia kura .Huniamini kiasi hiki🥹

Ujue mi najuaga una huruma babuKayataka, mitandao ya simu inatoa hela ndogo ndogo kama hizo na hakuna kelele, wala kudhalilishana.
Wengi wanatumia neno kukopa bila ya kuwa na nia ya kulipa tangu mwanzo.
Wengine hawaangalii riba za mikopo hii ambazo ni kubwa sana. Ni zaidi ya 100% kwa wiki. Unachopewa ni pungufu sana kutoka kinachoandikwa umekopa.