Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,186
Ulitamani uwepo?duh, mimi simo kumbe
Ulitamani uwepo?duh, mimi simo kumbe
Napambana mkuu ingawa ngoma bado ngumu., me nipo kihesaDogo pambana kutafuta ajira kama ID inavyojieleza...Ukichoka njoo tuoige stori hapa Stereo uhindini maana nimeona mahala kuwa uko Iringa
Usje chapiwa ukaumia ukasema sijakuambia!Asante sana mkuu.. tayari nishafika karatu kujitambulisha ukweni
Ni sehemu ya maisha mkuu.. alafu usipende kujiwekea sana mawazo negative., yale unayoyawaza ndo yana uwezekano mkubwa kukupataUsje chapiwa ukaumia ukasema sijakuambia!