Appreciation post kwa magwiji wa Jukwaa hili

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,394
9,759
Mimi ni mgeni kidogo hapa ingawa nimeanza kusoma threads za JF kitambo kidogo ila sikuwahi ku-sign in mpaka hapa juzi juzi tu nilivyoamua kufanya ivyo.

Maisha yangu kimahusiano sijapitia changamoto hasi nyingi maana huwa nafanya calculation kali sana kabla ya kumtokea binti kwa lengo la kuanzisha mahusiano na kiasili sio playboy always nakuaga committed na binti ambae nipo nae kwenye mausihano kwa kipindi hicho, bado sina uhakika kama ndo hulka yangu au nafanya ivyo sababu bado sijapata hela 😀😀😀., kwa sasa nimetulia na mtoto wa kiiraqw napata kila kitu, sina sababu hata moja ya kuchepuka.

Post yangu ni maalumu kwa ajiri ya malegend wote wa hili jukwaa, kwa kweli threads na comments za humu ndani nikisoma huwa nacheka sana.

Zero iq, mzabzab, financial services, rikiboy (mzee wa kula tunda kimasihala) na wengine wengi i really approciate you people mnanifanya niingie kulala kwa kucheka kila siku.
 
Back
Top Bottom