kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,629
- 17,636
🤐🤐🤐🤐🤐Siamini kama nipo kwenye list, nice to know that somewhere, somehow mtu anafatilia comments na kuenjoy. Thank youu
🤐🤐🤐🤐🤐Siamini kama nipo kwenye list, nice to know that somewhere, somehow mtu anafatilia comments na kuenjoy. Thank youu
Nini sasa dear ex😂🤐🤐🤐🤐🤐
Nmejikausha tu😿😿 kuna jamaa hapo juu kaongea mazito sana na kakutaja😁😁Nini sasa dear ex😂
Usiogope , naweza kukutaja na kuongea chochote, je ni kweli ?Nmejikausha tu😿😿 kuna jamaa hapo juu kaongea mazito sana na kakutaja😁😁
Hi sms imepita kila kwenye joto mwilin na kulainisha kooUsiogope , naweza kukutaja na kuongea chochote, je ni kweli ?
umeona eeeKama inchi tunasafari ndefu kurudi kwenye uchumi wa kati..
Hee😂😂😂hapo mwishoni🙌 sawa Mai lavyuu😂Hi sms imepita kila kwenye joto mwilin na kulainisha koo
Wani prado fo yuu mayi lavu❤️💘
😂😂Hee😂😂😂hapo mwishoni🙌 sawa Mai lavyuu😂
Asante sana mkuu.. tayari nishafika karatu kujitambulisha ukweniKama umempat mwiraq hongera sana so nakukarbisha Manyara
www.vanforumtz.com
Fanya kweli sio unaenda kumchezea la sivyo tutakufuata kwa mishale aseKama umempat mwiraq hongera sana so nakukarbisha Manyara
Karbu sana ila ufanye kweli sio unataka kumchezea la sivyo tutakufuata na mishale aseAsante sana mkuu.. tayari nishafika karatu kujitambulisha ukweni
Mkuu wewe ni mwiiraqw.?Karbu sana ila ufanye kweli sio unataka kumchezea la sivyo tutakufuata na mishale ase
Yaap vp kwan mkuuMkuu wewe ni mwiiraqw.?
Naomba nikutoe wasiwasi kabisa, binti yenu yupo katika mikono salama, acha nipambane kumaliza hizi changamoto za kiuchumi zinazonikabili upepo ukitulia nitakuja kuonana na wazee kwa ajiri ya procedures za kutoa mahariYaap vp kwan mkuu
Hahaha vzr mkuu naon umeipamba kweli sentens yako ya kwamb damu yetu iko katik mikono salama ...yote kw yote tunakuombea utimize malengoNaomba nikutoe wasiwasi kabisa, binti yenu yupo katika mikono salama, acha nipambane kumaliza hizi changamoto za kiuchumi zinazonikabili upepo ukitulia nitakuja kuonana na wazee kwa ajiri ya procedures za kutoa mahari