Cha kichwaKipara gani mnazungumzia? 🤔
Basi sawaHeheh! Bad girl bwana 😀
Ndio bure tu
Anajitahidi sana huyu dogo😂😂😂😂
Kuna watu wanatunza vitu jamani
NakaziaToa basi hilo dude
Kwani kuna aina ngapi za vipara??🤔🤔Kipara gani mnazungumzia? 🤔
Si nmekwambia browser imeanza kuchukua liver yanguNakuona tu bado umeganda kwenye browser
Mimi sijasikia jibu bhana😂Wewe chizi unataka nijibu mara ngapi? 😂