Hadi mwenyewe najishangaa na haya mahaba ya ghafla na browser nimeyatoa wapi
Habari zinazidi kuwa njema kila siku
Aya sema yooo nionyeshe mfanoEti anataka mfano
#nakutegemeakwenyemfano


Baki huko humo sasa![]()

ili ujisifu kuwa uzi wako ndo umenifanya nitumie browser eeh?#ngojanijilazimishe#Usikilizeleounasemakweli