Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mimi huyu nikimbieYaani ingekuwa ni mm ningekimbia uzi kabisa![]()




Hapa bado sijaweka picha ya simu yangu



Bonge la simu





Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyu nikimbieYaani ingekuwa ni mm ningekimbia uzi kabisa![]()












😀😀Mimi huyu nikimbie
Hapa bado sijaweka picha ya simu yangu
Bonge la simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba niwekewe picha ya kipara kwanza hiyo ya simu itasubiriMimi huyu nikimbie
Hapa bado sijaweka picha ya simu yangu
Bonge la simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipara hata Mimi naogopa kujiangaliaMimi naomba niwekewe picha ya kipara kwanza hiyo ya simu itasubiri
Dogo vp
Poa.. tukione hicho kipara basi
NakaziaPoa.. tukione hicho kipara basi
Mwambie hata mtoto akupige basi
Kwa nini
😀😀Nakazia
Nina katoto kadogo hapa hata kupiga hakajuiMwambie hata mtoto akupige basi
Mpaka saa ngapi
Mimi na kina mkokaa hatuogopi kuangalia hiyo picha ya kipara
Hao ndo wanakuwaga wapiga picha wazuri hebu mpe simu basi😂😂
Roho ya uchoyo umeanza ln
Alaf anataka apewe simu wakati yeye mchoyoRoho ya uchoyo umeanza ln