😀😀Mkokaa kasema tubaki kwenye 120k maana alinunua ikiwa mpya
😀😀Mkokaa kasema tubaki kwenye 120k maana alinunua ikiwa mpya
Yaani nikiwa sina hela sababu ndo huwa zinazidi.Sababu unatafuta ukiwa na hela
Ukiwa huna hela mbona utaitunza hiyo simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata wewe huwa unamtesa sana hasa ukianzaga kudai picha
Heheee!eti Davet kweli utatoa bure?
Hata mimi niliona😂😂😂 jana nimemkamia sana
Yaani akiongeza miaka miwili yuko nayo inapata degree ya udaktari😂😂😂😂😂😂😂😂 simu inakaribia kuchukua degree ya udaktari
Dah!!🤦♀️Sina matumizi nayo sasa 😀
🏃🏃🏃🏃🏃😂😂😂😂 naona unaunga dots tu
Shuaini mwenyewe.😂😂😂😂 swaini wewe
Hiyo One way wala sio Go and return bhana
HaipoKwani aliifuta?
Na wewe unaitakaUnawekaje simu akiba?kwani hela hiyo sema itazaa😂😂😂
#namiminaombazawadi
Mimi nataka zawadiNa wewe unaitaka
Yaani akiongeza miaka miwili yuko nayo inapata degree ya udaktari![]()










jamani



Jana alinikamataIla hata wewe huwa unamtesa sana hasa ukianzaga kudai picha
Acha alipize







Yaani nikiwa sina hela sababu ndo huwa zinazidi.
Unaendeleaje totoo?










😀😀Mimi nataka zawadi
Yaani ingekuwa ni mm ningekimbia uzi kabisa😂
🙏🙏