Application Ndio kila kitu Tatizo ni NOTIFICATION na Kutuma picha PM (kwang siwez tuma)
Nimewahi mpa mtu simu Hakua na Smartphone alikua ana-angalia matokea yake nimetok narudi nachungulia namkuta yuko JF


ame back pages Mpak Karud pages za JF (Security ndogo tofuat na App unaweza log out, kule mpka ufute broswe history

)
Mtu unatumia JF kama upo Google bwana umebrowse Website ya Ajira



Ukitumia App unaweza pata All New Threads from All forums (TIMELINE 914k)
Watu wa browsers wakiingia Forum moja mpaka atoke Sio Leo ndio mana unakuta mtu anajiita Mwana MMU yani akiingia kule anashindia huko ni kisanga kutoka

Bado Kuna mambo ya pages browser unavinyeza Kule juu Au chini 1 2 3 .... 5 next
Kwenye App unashuka tuu utajua mwenyewe kimpago wako pages zinajihesabu


Sisi wa App kupitia iyo (TIMELINE ) unarefresh tuu Unapata any commented thread from any forum unaiona according to time So ni mwendo wa kurefresh tuu

So far unaweza kusubscribe forum you want
Hapa ninapo andika sioni mambo mengine zaidi ya keyboard na nachokiandika
kwenye Browser Sasa

huko chini Kuna mambo kibao mara kushare whatsApp, twitter, fesibook,forum statistics hapo kule chini kuna contact us, Who we are, Where we are



ni vitu vizuri lakini Vina kera
Kwanini ujiweke gerezani duniana Hapa jipe raha, kwenye App vitu ni Soft Touch bwana eeeh

