carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Yaani hata nashindwa kusema ni king'amuz gan😂😂😂😂 sio Zuku?
Yaani hata nashindwa kusema ni king'amuz gan😂😂😂😂 sio Zuku?
JamaniContinental
Kwa madongo haya naona anne anaomba poo huko aliko😂😂😂😂😂 Teja ndio anairudisha ila mtu wa kawaida anapiga simu ya dharula kuita wajeda waje kutegua bomu
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mbona unatuonyesha kava?😁😁Kwendeni huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu yangu kaliView attachment 1442094
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkokaa kasema tubaki kwenye 120k maana alinunua ikiwa mpya😂😂😂😂😂😂 basi nabaki pale kwako kwenye 50k
Wakishua bhana acha kumchoma roho stella basiMimi mwaka mmoja naweza kutumia simu nne jamani
Unawekaje simu akiba?kwani hela hiyo sema itazaa😂😂😂
Kwamba nakusingizia sio?Hahah! Habari za uzushi hizi 😀
Acha dharau chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona yangu nzuri kuliko hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂betri imeshikiliwa na plastaIvue hilo gauni lake tuione ikiwa tupu, utakuta hata mfuniko haina 😀😀
Kwamba kuna kitu na wewe utataka kutoka kwake ama?🏃🏃🏃Hahah! Uniombe nikupe tu
Kwamba hiyo picha ni mimi tu imenipita?😂😂😂😂😂
Kwanini umenyoa?
Simu sio muhimu sana
Hebu tuone kama kweliEndelea kusubiri
Kwanza jana nimeenda saluni kinyozi anisawazishe vizuri.matokeo Yake amekwangua nywele zote nimebaki kama mzimu huku kichwani[emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
App ina ugumu gani?App ngumu ngumu sana
Sababu unatafuta ukiwa na helaYaan mimi simu nikiichoka huwa naitafutia kila aina ya sababu niache kuitumia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hata nashindwa kusema ni king'amuz gan
Yaani amenidongoa huyu chizi Jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa madongo haya naona anne anaomba poo huko aliko[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unatuonyesha kava?[emoji16][emoji16]
Geuza tuone simu
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkokaa kasema tubaki kwenye 120k maana alinunua ikiwa mpya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakishua bhana acha kumchoma roho stella basi
Mwenzio simu yake anachukulia kozi ya miaka 3 ujue[emoji23]