Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Isiwe tu iPhoneSaivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sana
Walihisi siwezi tumia iPhone mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Isiwe tu iPhoneSaivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sana
Cover kali
Nimecheka kifala leoTeja ndio anairudisha ila mtu wa kawaida anapiga simu ya dharula kuita wajeda waje kutegua bomu
![]()






Kwa nini hutaki hiyo
Dadeq eti ef 50basi nabaki pale kwako kwenye 50k













Siwezi kutumiaKwa nini hutaki hiyo
Uharibifu wa simu huoMimi mwaka mmoja naweza kutumia simu nne jamani

Je samsungSiwezi kutumia
Sina hela ya kutupa kununulia hiyo simu
Hata nikipewa naipiga Bei naenda kuchukua tekno spark
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa zawadi jana tu hii ya akibaYaani wewe nikikutana na wewe nakupora simu yako
Huwezi kuninyanyasa hivi Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ilivyo nzuri au cover lilivyo zuri? 😀
Yaani Leo umeniponda Hadi natamani nipost simu yangu uone ilivyo nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ilivyo nzuri au cover lilivyo zuri?![]()

















Toa emoj tuone kama camera ipo vizuriSimu yangu ni kali jamani
Hembu kiacheni kifaa changu Cha mawasilianoView attachment 1442125
Sent using Jamii Forums mobile app