Ikiguswa tu kidogo haichajAtegeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
Ikiguswa tu kidogo haichajAtegeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
Huu uzembe itabidi niacheNaona unazingatia sama mada za dawa kuliko mambo mengine
KumbeHuyo wa kishua hana cha kupoteza
Akirudi nyumban analia kidogo ananunuliwa mpya

Waeichoka wanataka mpya ndio mana wanaharibu










Ategeshee na vijiti na ikikubali inapewa ulinzi mzito ili mtu asitikise akaharibu setting
Walishawahi tumbukiza simu ya mama Yao mpya,ilikuwa hata mwezi haijamalizaWaeichoka wanataka mpya ndio mana wanaharibu
Sijui anataka agundue niniYaani mimi simu nikikaa nayo mwaka tu naichoka.
Stella anakaa nayo miaka 3,dah![]()
Yaani mimi simu nikikaa nayo mwaka tu naichoka.
Stella anakaa nayo miaka 3,dah![]()













Saivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sanaWalishawahi tumbukiza simu ya mama Yao mpya,ilikuwa hata mwezi haijamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app



yupo ugenini sasa na hilo shangwe mpaka wenyeji wanashangaa
Continental😂😂😂😂 sio Zuku?
Kweli leo nimekukalia kooni hadi umetoa kubwa
#bwegewewe














