Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sasa kindali sisi subtittles tutatoa wapi?Nitamnyanyanyasa huyu
Yaani hizi fujo zote nitalipa
Mimi kizungu sijui,nitaongea kindali tu
Sent using Jamii Forums mobile app





Sasa kindali sisi subtittles tutatoa wapi?
Unatuletea mkalimani ama?







😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseee
Sasa mwezi March nimeenda ugenini
Wamehangaika wee kunichajia halafu muda kidogo tu ukapita ikaisha chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee upo vizuri hiyo nimetumia simu nne hiyo miaka




Mimi huwa sibadili Hadi inifieAisee upo vizuri hiyo nimetumia simu nne hiyo miaka
Dah


😂😂😂😂Nasubiri Melo aweke VN
Nitamnyanyanyasa huyu
Hawezi kuninyanyasa hivi mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mimi simu nikikaa nayo mwaka tu naichoka.Aisee upo vizuri hiyo nimetumia simu nne hiyo miaka

Huyo wa kishua hana cha kupotezaYaani wewe nikikutana na wewe nakupora simu yako
Huwezi kuninyanyasa hivi Mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hizo mbili zilipasuka kioo
Sijawahi pasua kiooKati ya hizo mbili zilipasuka kioo