Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Umeamua uninyanyase LeoAlikula kwenye ile michezo ya kurusha viringi kwenye bidhaa kama unaijua, sasa yeye alirusha akalenga Infinix





Kichaa wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamua uninyanyase LeoAlikula kwenye ile michezo ya kurusha viringi kwenye bidhaa kama unaijua, sasa yeye alirusha akalenga Infinix










dah😀😀😀Alikula kwenye ile michezo ya kurusha viringi kwenye bidhaa kama unaijua, sasa yeye alirusha akalenga Infinix
Aiseeeanatumia King'amuzi kulogin jf












Alikula kwenye ile michezo ya kurusha viringi kwenye bidhaa kama unaijua, sasa yeye alirusha akalenga Infinix





jamanHuwa siitoi yaani
Eti anakwambia kutwa nzima anaichaji



Sio laki na nusu kweli
Yeye hakutaka kuangalia dawa yeye amezoom picha
Mpaka utegesheAiseee
Sasa mwezi March nimeenda ugenini
Wamehangaika wee kunichajia halafu muda kidogo tu ukapita ikaisha chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri Melo aweke VNjaman





Halafu sijui tabia ya kuacha ku zoom nimeanza liniwacha uzembe

Jamani acheni kunioneaSio laki na nusu kweli







Kweli hiko ni king'amuzi


Chizi WeweHahah! Watu wa hivi ndio wale umeme ukirudi wanapiga kelele kama wanaupokea mwaka mpya![]()





Mimi nahisi itakuwa ni 50k hata laki haijafikaSio laki na nusu kweli

