Huyu kd chizi SanaMjinga una zoom weweyaani hiyo extension sikuiona





Mimi huyu?umenunua tambo jipya nini?




Hata mimi naona sema shida no hizo pages tuNaona kabisa muda sio mrefu utamwaga wino kusign mkataba wa maisha![]()
Duh!Ndiyo
Sema zamani ilikuwa sio Sana Kama Sasa.. halafu nilipowaambia home wakasema itakuwa mafua tu
Nikienda hosp dkt anasema mafua ananipa tu cetrizen,naenda pharmacy nachukua coldrill,Dr cold,toff plus yaani Hakuna dawa ya mafua sijaimeza
Sent using Jamii Forums mobile app




una miliki tv badala ya simu?😀😀😂😂😂😂 simu kama Friji tu
Upoteze vipi simu wakati hata ukiidondosha watu wanakuokotea na kukurudishia 😁Mimi huyu?
Huwa sibadilishi simu Hadi iharibike
Bahati mbaya au nzuri sijawahi kupoteza simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!
Na hizo spray umeanza kuzitumia kwa muda gan hadi sasa?
Chizi sana weweUpoteze vipi simu wakati hata ukiidondosha watu wanakuokotea na kukurudishia![]()




