Ulinunua sh ngapi
Kabisa yaniHahah! App ndio atakua mdaka chozi wako


yaani kanifanya nirudi kuangalia picha tenaSasa bora huyo ya chakulaOooh pole pole
Mdg ang Alikua na allergy ya Samaki na vumbi, vikimzuru Alikua anaumuka uso kama mjapan![]()
Mjinga mwenyewe kabla sijasahau
Sasa unaona magettoni kabisa unakomaa kutazama dawa badala uzungushe macho kila kona








Hahah! Sawa ngoja niipumzishe
Huyo chizi hata boksi la dawa hajaona
Yaani mimi akili ya kuzoom sikuwa nayo kabisa.
Akili yote ilikuwa kwenye boksi la dawa






Utasikia "dada samahani umedondosha simu yako"Upoteze vipi simu wakati hata ukiidondosha watu wanakuokotea na kukurudishia![]()


Oh!sawa
Wewe si ulisema unapenda kufunua hizo page ama umesahau?Sijui na sisi tuanze vilio na malalamiko juu ya kuperuzi hizi pages?