Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
- Thread starter
- #2,061
๐๐๐๐๐Watakuwa walivyoona tu chizi mmoja kaazisha wakaaamua wauache tu chitchat
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi mwenyewe
๐๐๐๐๐Watakuwa walivyoona tu chizi mmoja kaazisha wakaaamua wauache tu chitchat
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawah fanya allergy test?kujua ni nini hasa uko allergic nacho?Sasa huyu dkt angenambia tu yeye hakati.
Amenizungusha wee..
Dkt wa mwanzo nilimuelewa vizuri maana alisema ni ngumu kujua Nini kinasababisha na ni ngumu kuepuka maana ndio mazingira unayoishi kila siku.
Ila pamoja na yote, perfume siachi wallahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si Melo huyu anatupiga tu kalendaHebu tuisikie![]()




Kesho wanauunga kwenye uzi wa likesWatakuwa walivyoona tu chizi mmoja kaazisha wakaaamua wauache tu chitchat
Sent using Jamii Forums mobile app


Duh! 10 yrs??Yaani huyo dkt atakayenihurumia akakubali kunikata nitamshukuru sana maana si kwa tabu hizi
Almost 10 yrs Sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakibadili huo mfumo kwenye browser app naiweka pending kwa mudaWakishabadili huu mfumo wa kufungua pages kwenye browser watatisha sana....
Wazee wa Mei mosi tusaidieni kuhesabu faida nyingi na chache hapo![]()
Duh! 10 yrs??
Mjinga una zoom weweNaona umejisogezea huduma ya umeme kitandani![]()


yaani hiyo extension sikuionaKawaida yake hiiSimu haikai na chaj sio?








Si Melo huyu anatupiga tu kalenda
Ngoja aweke option ya VN
Mtanikoma humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app



