My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Ata akatae carbamazepine ni muuuguziMuuguzi
Ata akatae carbamazepine ni muuuguziMuuguzi
Anauelewa wa huo ugonjwa
Nyingine hiiUna nasal polyps??
Hawajawahi kukupa spray??

😀😀 bora sindano kuliko dawa
Dah!Hizo nasal spray ninazo
Na Jana wamenipa hiyo
Nimezitumia Hadi basiView attachment 1441954
Sent using Jamii Forums mobile app


deep wapi na google tu hapa



Hii inaitwa asante googleAnauelewa wa huo ugonjwa

Mmmmmmhhhhdeep wapi na google tu hapa




Kweli hiki ni kiwanda
Hahah!Hii inaitwa asante google![]()
MajivuMmmmmmhhhh
Anyway dawa ya kiungulia ni nini nisaidie ??
I'm on that good kush and alcohol



HatariiiiiiiMajivu![]()



Hii dawa haina ugumu wowotebora sindano kuliko dawa
Kweli hiki ni kiwanda





Hii dawa haina ugumu wowote
Ni kupuliza tu puani


Pamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kulaDah!
Pole dear




Duh! sauti yako yakubana kumbePamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kula
Hata nibanwe vipi.
Kuna clinic nilienda dkt akawa ananiambia itakuwa rangi zako za kucha hizo zinapelekea tatizo kuendelea nikamwambia hizi rangi nimepaka Jana tu, huna sipaki rangi,akasema itakuwa unakaa Kwenye vumbi, nikamwambia mazingira ninayoishi Ni masafi,akasema mashuka nikamwambia nabadilisha mara3 kwa wiki
Baadaye akanambia ooh usikate hizo nyama.. baadaye anasema Tena wanaoweza kukutibu kukukata Ni Benjamin dodoma,muhimbili na KCMC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nilishasema pale juu Kama Ni allergy ya puaNajua nikuliza ya ugonjwa gani hutasemq
I'm on that good kush and alcohol