Kama namuona mtoa mada atakavyolia😁😁Siku moderators wataunganisha kweye ule wa likes
Mwambie kd sio poa anavyofanya.Babe,we acha tu...Kd amenitelekeza huku porini, ameweka mgomo kunifata😕
#MissyouMuch
Usijali cha fujo karibu
Jamani,pole totooAkhsante
Nina allergy ya pua, Sasa hapa juzi Kati nilisafiri kwenye barabara ya vumbi ikawa Shida Zaidi.
Hsp wananipa dawa zao kila siku na sioni Kama zinanisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka mingi zimekuwepo bila mafanikio kwahiyo mabadiliko yakifanyika sasa hivi unadhani nitaamini vipi jamani?![]()

hadi nakosa cha kuandika
Alafu havina hata uhusiano
#chizisanawewe





Kwani bado mwenye hati miliki ya kwini hajajulikana??
Achana na muuza maua bado anabeef na mimi huyu
Amen, akhsanteJamani,pole totoo
Nakuombea ukae sawa.
Nina workmate yangu ako na same allergy,pole sana jamani


Nyuzi kama hizi wanapelekaga jukwaa la complaintsUzi ukiwa chit chat maandishi yanasomeka Kihindi kwamba Mods hawawezi kuelewa nini kinaongelewa?
Habari yako bhana?
😨 torokaaNi Kweli, ila yule Jamaa nae kaamua kunifungia ndani nisije kwako🤭
😀😀 eti mbeba mauaMwambie kd sio poa anavyofanya.
Inamaana na mbeba maua kakutelekeza?🤔
Amepewa tu anti allergies(prednisolone,cetirizen na madude mengine).Amen, akhsante
Yeye anatumia dawa zipi?
Juzi kati nilitaka kuzimia usiku,nilikula vumbi barabarani ..using ikawa kasheshe
Yaani hapa Corona ikipita inanichukua
Sent using Jamii Forums mobile app