stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,114
- 28,014
Wadau kwa mwenye kujua simu yangu aina ya Blackberry 8120 imepata tatizo,nilikuwa nadownload miziki wakati inaload ghafla ikaanza kuwa slow na busy sign ikawa inatokea mara kwa mara na kupotea,ghafla ikawa haipotei na sina cha kufanya zaidi ya kufikia uamuzi wa kutoa Bettery,nilipolirudisha kwa nia ya kuiwasha ilichukua muda na ikifikia kwenye kuwaka inaandika APP ERROR 205 na haiwaki ila chini yake kuna neno RESET,nikiclick kwenye reset inaanaza tena process ya kuwaka na inaishia pale pale kwenye APP ERROR 205.Msaada tafadhali hii simu yangu inaweza kuwa imepata tatizo gani na nini ushauri ili niweze kuiwasha tena.