Mzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP๐๐๐๐ usiogope hiloUnazungumziaje battery capacity inaonekana ni ndogo sana then inatumia most powerful Soc in the market...?
Samsung Galaxy[emoji93]
Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sanaUtakuta simu ina camera nyingi lakini ukipiga picha unatamani kulia [emoji851]low quality
Sent using IPhone X
Hio ni budget highend/flagship
Kuna simu ni lowend, midrange, upper midrange, highend etc.
Unaweza ukauziwa lowend 300,000 ukaona bei rahisi na ukauziwa highend laki 9 ukaona ghali, ila kiuhalisia highend laki 9 umeipata bei rahisi na lowend laki 3 inawezekana umepigwa.
Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichofanya hapo ni sawa nakuacha kutumia mafuta ya nazi na kuamua kunywa madafu yake, hapo hapo unatamba mi nimeacha kutumia nazi siku hizi!Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kibongo bongo simu za iPhone na funguo za magari huwa havikai mfukoniYani hizo specs ndio za 399usd? [emoji2]
Hawa jamaa wamelogwa sana..ila hard fans wa tunda watanunua na watataka kuvimba vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiogope hilo
Troll JFMzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiogope hilo
Unapokeaje malipo upwork?Mkuu nyingi mno, mfano online freelancer kwenye mtandao kama upwork inakulazimu muda mwingi uwe mtandaoni.
Mi nadhani ni exposure watu wanakosa.
Apple nawaelewa hapo.Mkuu nimemaanisha angalau ingekuja na mwonekano tofauti na ulivyo sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia kwenye taa, fridge, tv, radio n.kNimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina wireless chargingMkuu nimemaanisha angalau ingekuja na mwonekano tofauti na ulivyo sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app