Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,704
- 39,782
Hebu iangalie vizuri kisha uniambie wanajaribu kuimitate laptop za kambpuni gani, angalia hapo kwenye touchpad, apple bado wanalead mkuu..wengine wanafuatia, angalia hata simu zao walivyoanza kutengeneza iPhone kila kampuni naona inaiga designs hizohizo, SHAME!
mkuu ushaskia kampuni inaitwa lenovo? ushaskia kampuni inaitwa asus? hawa ndo walioanzisha hybrid laptop, convertible vitu viavyochomoka chomoka na kubinuka. hii ndo future tunayoenda na soon apple ataanza kuifata. touchpad na keyboard hizo zinatoka sku hizi kuna touchcover. kina asus ndo wana hybrid ya touchpad na mouse hapo hapo.
kuhusu huko iphone kuigwa wala usiongee maana nkileta ile kesi ya nokia utaumbuka