Apple v/s Dell Computers

Most of time natumia laptop yangu kucheck emal, mitandao ya kijamii, microsoft office kwa presantantion nk na just kucheza games

Do i real need Mac that will cost me around 3m?
No hell. My Dell which cost me 5k do me good..............na haya ndio matumizi ya wa Tz wengi.
 
Tukubali tu jamani, hata mimi natumia dell, lakin nina kaMacbooPro kangu pembeni kwa ajili ya shughuli za kuniletea kipato. Kwanza dell wanatengeneza maboxi, they are never into design, sanasana wanadesign jumba la nje tu, components karibia zote wananunua kutoka kampuni mbalimbali na wanaasemble tu, hakuna wabunifu pale, ha hiyo Alienware waliinunua mwaka 2006 kama skosei baada ya kuunganisha vijikampuni viwili vilivyokuwa vinadesign laptops, walifikia hatua hiyo baada ya kuona watu hawataki maboxi yao wanakimbilia kwenye mashine za makampuni mengine, hata hivyo bado ni failure tu, mashine zao mbovu na support yao ni kichefuchefu, uliza kwenye maofisi yanayotumia computer za Dell, ni bora hata hp na lenovo. Hayo ma alienware ni kwa ajili ya kuchezea games tu, hayana lolote!

cc: Young Master Triple G VUVUZELA

first of brother, kazi yako hiyo ya kipato ni ipi if i may ask!? Kama haihusiki na Art or designing unachota maji kwa tenga, maana hizo task ndo i may agree Mac inajitahidi na ndo only field utakuta professionals wana2mia MAC, no where else!!
Alafu mbili, sio Dell waliokua under crissis. Ni kinyume chake, small assemblly company (Alienware) ndo waliokua wameyumba and dell simply took the opportunity and took over its premises!!
Tatu, subject in matter ni machine zenye brand name ya Dell over Mac mate, company nyingi 2 zinategemea import ya vifaa brother!!
Nne, unaongelea support! Sina mengi ya kusema hapa, zaidi subiri Dell machine iharibike na Mac yako iharibike utanipa jibu support wa wapi ni ushuzi huku!! XPS machines are more than just for games, zinatoa extreme performance to any task, jiulize kwa nini most U.S agancies NASA inclusive wana run on dell na sio makopo ya MAC? Ponder that kwanza ukipata jibu nambie.
 
Last edited by a moderator:
Tukubali tu jamani, hata mimi natumia dell, lakin nina kaMacbooPro kangu pembeni kwa ajili ya shughuli za kuniletea kipato. Kwanza dell wanatengeneza maboxi, they are never into design, sanasana wanadesign jumba la nje tu, components karibia zote wananunua kutoka kampuni mbalimbali na wanaasemble tu, hakuna wabunifu pale, ha hiyo Alienware waliinunua mwaka 2006 kama skosei baada ya kuunganisha vijikampuni viwili vilivyokuwa vinadesign laptops, walifikia hatua hiyo baada ya kuona watu hawataki maboxi yao wanakimbilia kwenye mashine za makampuni mengine, hata hivyo bado ni failure tu, mashine zao mbovu na support yao ni kichefuchefu, uliza kwenye maofisi yanayotumia computer za Dell, ni bora hata hp na lenovo. Hayo ma alienware ni kwa ajili ya kuchezea games tu, hayana lolote!

cc: Young Master Triple G VUVUZELA

Tusidanganyane mkuu. Hakuna kampuni yoyote ya computer duniani inayotengeneza everything from scratch. Fanya utafiti kwanza halafu ndio uje ubishe. Usibishe kitu ambacho huna uhakika nacho.
 
Sijasema hivyo, lakini apple wanadesign the main components mkuu,dell wanaasamble tu mkuu, TUSIDANGANYANE!
 
Main Components wanazodizaini ni zipi hizo? Processor, RAM, Power Supply au motherboard?

Vitu vyote ulivyotaja wanadesign wao, isipokuwa RAM za baadhi ya models tu. Haya niambie dell kwenye makopo yao wamedesign nini kama siyo case tu, na case zimewashinda wanadesign unpresentable ugly square boxes!!
 
Ha ha ha haaa!!! Yani umenifanya mpaka nicheke mkuu. Tukianza na processor Mac wanatumia processor za Intel, tukija kwenye graphics Mac wanatumia Graphics za nVIDIA au ATI, na kwenye Hard Drive wanatumia Hard Drive kutoka kampuni mbali mbali ikiwemo Fujitsu, Western Digital Toshiba n.k.
 
hahahhaa, you caught me on that one! All in all, apple are better machines bro, agree?
 
I disagree mkuu.

macbook-air.jpg

d620-back1.jpg

Hebu sema ukweli mkuu, given the chance, ungechagua ipi?
 
View attachment 105987

View attachment 105988

Hebu sema ukweli mkuu, given the chance, ungechagua ipi?

Ha ha haaa!!! Sasa hapo mkuu utakuwa hujatenda haki. Maana hata uki-compare specs za Laptop zote 2 utagundua kuwa Mac iko juu. Hiyo DELL bila shaka ni DELL Latitude D620 au D630 na ni model ya zamani sana sidhani kama hata DELL wanaziuza tena. Weka PC ambazo specs zinazolingana halafu ndio uniambie nichague.
 
Hahahaaa, hizo zote ni make za 2007, lakini ukiangalia specs hiyo d620 inaweza hata kuzidiwa na G4 ya 2004!!!!!
 
Tukubali tu jamani, hata mimi natumia dell, lakin nina kaMacbooPro kangu pembeni kwa ajili ya shughuli za kuniletea kipato. Kwanza dell wanatengeneza maboxi, they are never into design, sanasana wanadesign jumba la nje tu, components karibia zote wananunua kutoka kampuni mbalimbali na wanaasemble tu, hakuna wabunifu pale, ha hiyo Alienware waliinunua mwaka 2006 kama skosei baada ya kuunganisha vijikampuni viwili vilivyokuwa vinadesign laptops, walifikia hatua hiyo baada ya kuona watu hawataki maboxi yao wanakimbilia kwenye mashine za makampuni mengine, hata hivyo bado ni failure tu, mashine zao mbovu na support yao ni kichefuchefu, uliza kwenye maofisi yanayotumia computer za Dell, ni bora hata hp na lenovo. Hayo ma alienware ni kwa ajili ya kuchezea games tu, hayana lolote!

cc: Young Master Triple G VUVUZELA

kwan Apple Wanatengeneza kila ktu Wao?? Ndomaana Processor Zmeangikwa Intel... Zngekua zao Ungeskia Interactive processor.. Pia macbook kbao ukiangalia harddisk ni toshiba..... Screen pia sidhan kama Wanatengeneza wao... .. Ukiangalia kampuni znazotengeneza v2 vng n samsung na Toshiba.... Na Lg mayb ila Bado processors, graphic cards na baadhi ya v2 wanachukua kwa wengne
 
Last edited by a moderator:
Vitu vyote ulivyotaja wanadesign wao, isipokuwa RAM za baadhi ya models tu. Haya niambie dell kwenye makopo yao wamedesign nini kama siyo case tu, na case zimewashinda wanadesign unpresentable ugly square boxes!!

acha uwongo... Na processor ya kwao??
 
Hyo Dell N Ya Mwaka gani? na Hio Mac sidhan kama ni chin ya 2009......

Hata hii ni mali ya Apple mkuu

pb100.jpg

Nilizoweka mimi zote ni make za 2007, macbook air na latitude d630. Hii uliyoweka wewe ni PowerBook 100, ni ya mwaka 1991 kama skosei, wakati huo dell wana 325N
325n.jpg
Nadhani hata kwa macho unaona tofauti, apple walikuwa tayari wanatumia trackball kwenye notebooks zao, complete na mouse buttons!...NOW THATS INNOVATION.
 
dell-thinnest-laptop.jpg

dell hybrid laptop za sku hizi huo ndo wembamba wake

Hebu iangalie vizuri kisha uniambie wanajaribu kuimitate laptop za kambpuni gani, angalia hapo kwenye touchpad, apple bado wanalead mkuu..wengine wanafuatia, angalia hata simu zao walivyoanza kutengeneza iPhone kila kampuni naona inaiga designs hizohizo, SHAME!
 
Back
Top Bottom