Apple v/s Dell Computers

Apple v/s Dell Computers

Mkuu unatudanganya (unless otherwise utupe ushahidi)...windows 2000 iliondolewa sokoni rasmi july mwaka jana, hakuna mtu anatumia windows 2000 leo!

Haijaondolewa Sokoni :.. imeondolewa Supoorts... Manaake program znazotengenezwa sasa Haziwez Kusuport Hyo Os.. nikuanzi Xp service pack 3 kwenda juuuuu
 
yaaani Hii Dell ninayotumia hakika ninatumia kusomea email, na mitandao ya kijamii ! kwa kazi yangu mimi sioni kama kuna shida, natumia only 0.1% ya uwezo wa hii...........sihitaji nyingine
 
Bado watu kuna wanaendelea kuitumia hadi leo

huyu mdau ameshindwa kutofautisha kati ya kuondolewa na kusitishiwa support, microsoft wamatangaza kuwa hata windows xp itasitishwa support hapo mwakani haimaanisha itaondolewa bali bali microsoft hatatoa support kama vile software wanazotengeza zitakuwa hazi run kwenye windows xp vile vile current server itakuwa ni kwa ajili ya current windows kama vile vista, 7 na 8.
 
Eti wazungu bado wanatumia windows 2000!!!!!...huko kwa "wazungu" mnaenda nyie tu?!!!
Pentium 3 ndizo zilikuwa designed kwa ajili ya Windows 2000, leo hii hata Bongo P3 zilishapigwa marufuku kuingizwa, halafu mtu anasema wazungu bado wanatumia, ni wazungu gani hao? Microsoft walisha sitisha kutoa customer support kwa hiyo bidhaa (including windows xp), hebu semeni ni ofisi gani itakuwa inatumia OS ambayo haina support kutoka kwa watengenezaji. Ni kweli Apple products ni kwa ajili ya market fulani ya proffesionals na enthusiasts tu, lakini for god's sake those are some serious machines hauwezi kulinganisha na hayo maboxi ya dell kama nalotumia mimi hapa!
cc: Sumu Kyenju VUVUZELA SHERRIF ARPAIO Shakazulu
 
Last edited by a moderator:
Angalia market share ya hizo computer ulizotaja then utapata jibu lako.

By the way wenzako wananunua computer kufuatana na mahitaji yao na sio status. Mambo ya status yamekuwa reserved for Tanzanians kwani sisi hatununui kitu kulingana na mahitaji yetu bali kupata status tu.

Kweli kbs, nina rfk angu ana Mac Pro Air lakini anaitumia 1% ya what it deserves, kisa ni fashen
 
Majority ya watanzania wanavyo-mind Dell halafu wewe unazikandia na kuzilinganisha na Fujistu eti sijui e-machines....shauri yako unatafuta kutukanwa hapa jamvini. simoooo
Kuliko kutumia DELL ni bora uingie Lenovo ambayo inampumulia apple kisogoni vibaya!
 
Feeling sorry for fellas mnaoponda dell machines, Mac is only good for show off only na zinatumika sana na wanavyuo or show of places like receptions or something and also with 'non Geek' people who do not know the proper uses of a PC and has nothing good to do with their money, ndo wanaochukua MAC cr*p. Vital agancies like Nasa and their astronauts, world class hackers run on Dell!!
 
Eti wazungu bado wanatumia windows 2000!!!!!...huko kwa "wazungu" mnaenda nyie tu?!!!
Pentium 3 ndizo zilikuwa designed kwa ajili ya Windows 2000, leo hii hata Bongo P3 zilishapigwa marufuku kuingizwa, halafu mtu anasema wazungu bado wanatumia, ni wazungu gani hao? Microsoft walisha sitisha kutoa customer support kwa hiyo bidhaa (including windows xp), hebu semeni ni ofisi gani itakuwa inatumia OS ambayo haina support kutoka kwa watengenezaji. Ni kweli Apple products ni kwa ajili ya market fulani ya proffesionals na enthusiasts tu, lakini for god's sake those are some serious machines hauwezi kulinganisha na hayo maboxi ya dell kama nalotumia mimi hapa!
cc: Sumu Kyenju VUVUZELA SHERRIF ARPAIO Shakazulu

Safi sana,mtu amechezea za uso.
Tatizo muuza mitumba karume anataka kuingilia fani za watu
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaifahamu Alienware vizuri wewe? Kama ungekuwa unaifahamu usingeiponda DELL.

YM thank you, vijana hawa naona hawajui Alienware or Xps are the most powerfull machines in the industry right now! Not only powerfull but stylish as well. I feel sick to the stomach m2 anapolinganisha Mac scraps with Dell au ios with Droid. Apple products are expensive and never easy to fix(actually they are impossible to fix) na wale wanao camp kila siku kusubiri new products (which actually are similar to the previous ones) hua hawana anything better to do with their money na wananunua for one purpose of showing of to their friends. Like come on unakaa na simu inakwambia 'i phone' yaan inakuona you're stupid and cant tell it apart from other things so wanai label stupid names like 'i phone' 'i computer' ridiculous(that's how i interprete it)
 
Eti wazungu bado wanatumia windows 2000!!!!!...huko kwa "wazungu" mnaenda nyie tu?!!!Pentium 3 ndizo zilikuwa designed kwa ajili ya Windows 2000, leo hii hata Bongo P3 zilishapigwa marufuku kuingizwa, halafu mtu anasema wazungu bado wanatumia, ni wazungu gani hao? Microsoft walisha sitisha kutoa customer support kwa hiyo bidhaa (including windows xp), hebu semeni ni ofisi gani itakuwa inatumia OS ambayo haina support kutoka kwa watengenezaji. Ni kweli Apple products ni kwa ajili ya market fulani ya proffesionals na enthusiasts tu, lakini for god's sake those are some serious machines hauwezi kulinganisha na hayo maboxi ya dell kama nalotumia mimi hapa!cc: Sumu Kyenju VUVUZELA SHERRIF ARPAIO Shakazulu
Tunaongelea personal use. Bado hdi leo hii nimeona watu wengi tu US wakiendelea kutumia windows 2000, XP na hata Vista kwa matumizi yao binafsi. Microsoft walishasitisha support kitambo ila wewe kama mtumiaji unaweza kuitumia product ya zamani at your own risk
 
Last edited by a moderator:
YM thank you, vijana hawa naona hawajui Alienware or Xps are the most powerfull machines in the industry right now! Not only powerfull but stylish as well. I feel sick to the stomach m2 anapolinganisha Mac scraps with Dell au ios with Droid. Apple products are expensive and never easy to fix(actually they are impossible to fix) na wale wanao camp kila siku kusubiri new products (which actually are similar to the previous ones) hua hawana anything better to do with their money na wananunua for one purpose of showing of to their friends. Like come on unakaa na simu inakwambia 'i phone' yaan inakuona you're stupid and cant tell it apart from other things so wanai label stupid names like 'i phone' 'i computer' ridiculous(that's how i interprete it)

Naam mkuu, umenena vyema. Wamesahau pia kuwa DELL ni moja ya the big three companies zinazoongoza kwa kutengeneza Servers bora duniani.
 
Namfananisha ni kina Einstein na newton Kweli Jobs alikuwa bonge la innovater mzee. Aachana na makopo hayo ya dell, next tym compare dell na wenzake hao kina HP,ACER na wengine. Nyc post

Jamaa namfananisha sana na Jose Mourihno kwenye Soccer...he believed so very much in his strength and never a hypocrite! sio dell tu...hata Microsoft wenyewe...nilishasikiza speech moja alialikwa kwenye Graduation Stanford University mwaka 2005...aliichana Microsoft na windows live, kwamba typography wanazotumia kwenye windows OS walicopy kutoka Macintosh OS! hapa chini namnukuu
"None of this had even a hope of any practical application in my life. But ten years later, when we were designing the first Macintosh computer, it all came back to me. And we designed it all into the Mac. It was the first computer with beautiful typography. If I had never dropped in on that single course in college, the Mac would have never had multiple typefaces or proportionally spaced fonts. And since Windows just copied the Mac, it's likely that no personal computer would have them. If I had never dropped out, I would have never dropped in on this calligraphy class, and personal computers might not have the wonderful typography that they do. Of course it was impossible to connect the dots looking forward when I was in college. But it was very, very clear looking backwards ten years later"

Thank you Steve Jobs for touching the lives of millions! RIP

People lets be clear on something STEVE JOBS NEVER INVENTED ANY I PRODUCT. Lemmi give you guys a little info kidogo, APPLE inc ni company iliyokua co-founded with Steve and two other guys, one of em ni one man called "Steve Wozniak" . Huyu jamaa ndo alikua mchawi wa Apple, wikipedia itself wanasema he single handely invented 2 generations of apple computers, and i quote "Stephen Gary "Steve" Wozniak[SUP][1][/SUP][SUP]:18[/SUP] (born August 11, 1950),[SUP][2][/SUP] known as Woz, is an American inventor, computer engineer and programmer who co-founded Apple Computer (now Apple Inc.) with Steve Jobs and Ronald Wayne. Wozniak single-handedly invented both the Apple I and Apple II computers in the 1970s. These computers contributed significantly to the microcomputer revolution." Huyu bwana pamoja na other 60,000 workers wa APPLE Inc ndo waliochangia kudesign,Program,compile and 'tweek' iproducts. Steve.J alikua katika founders kama market person tu, ila sababu wa2 ndo waliokua wanamuona basi waka assume yeye ndo inventor. It annoys me everytime i hear people giving Jobs(may God bless his soul) credit which he doesn't deserve!!
more: Steve Wozniak - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Waafrika na Waasia ndio mabingwa wa kushobokea Teknolojia mpya, na hata ukisoma takwimu za mauzo ya Galaxy IV , UTAONA ZINAPAPATIKIWA SANA HAPA BARANI, na shida tunatumia simu hizo aghali kwa matumizi ya kawaida sana ambapo hata simu ya 200,000 ingeweza kufanya.
Tununue Computer , Simu za kisasa kuendana na mahitaji uliyo nayo, kuwa na computer ya 3,000,000 ambapo unafanyia kazi ambazo computer ya 1,700,000 ingeweza kufanya huo ni uzuzu
 
kifupi cjawah kumiliki personal computer zaid ya macs. Nazipenda coz hazina kugush. Kama imetengenezwa ina uwezo wa kufanya program flan inafanya effectivelly. Kama hakuna ni hakuna.
 
YM thank you, vijana hawa naona hawajui Alienware or Xps are the most powerfull machines in the industry right now! Not only powerfull but stylish as well. I feel sick to the stomach m2 anapolinganisha Mac scraps with Dell au ios with Droid. Apple products are expensive and never easy to fix(actually they are impossible to fix) na wale wanao camp kila siku kusubiri new products (which actually are similar to the previous ones) hua hawana anything better to do with their money na wananunua for one purpose of showing of to their friends. Like come on unakaa na simu inakwambia 'i phone' yaan inakuona you're stupid and cant tell it apart from other things so wanai label stupid names like 'i phone' 'i computer' ridiculous(that's how i interprete it)

Tukubali tu jamani, hata mimi natumia dell, lakin nina kaMacbooPro kangu pembeni kwa ajili ya shughuli za kuniletea kipato. Kwanza dell wanatengeneza maboxi, they are never into design, sanasana wanadesign jumba la nje tu, components karibia zote wananunua kutoka kampuni mbalimbali na wanaasemble tu, hakuna wabunifu pale, ha hiyo Alienware waliinunua mwaka 2006 kama skosei baada ya kuunganisha vijikampuni viwili vilivyokuwa vinadesign laptops, walifikia hatua hiyo baada ya kuona watu hawataki maboxi yao wanakimbilia kwenye mashine za makampuni mengine, hata hivyo bado ni failure tu, mashine zao mbovu na support yao ni kichefuchefu, uliza kwenye maofisi yanayotumia computer za Dell, ni bora hata hp na lenovo. Hayo ma alienware ni kwa ajili ya kuchezea games tu, hayana lolote!

cc: Young Master Triple G VUVUZELA
 
Last edited by a moderator:
Waafrika na Waasia ndio mabingwa wa kushobokea Teknolojia mpya, na hata ukisoma takwimu za mauzo ya Galaxy IV , UTAONA ZINAPAPATIKIWA SANA HAPA BARANI, na shida tunatumia simu hizo aghali kwa matumizi ya kawaida sana ambapo hata simu ya 200,000 ingeweza kufanya.
Tununue Computer , Simu za kisasa kuendana na mahitaji uliyo nayo, kuwa na computer ya 3,000,000 ambapo unafanyia kazi ambazo computer ya 1,700,000 ingeweza kufanya huo ni uzuzu

Kaka acha kutunga habari, ni waafrika wangapi wenye uwezo wa kununua hiyo high end smartphones?....Wewe unafikiri Wamarekani au waingereza wanatumia kufanyia nini hizo simu?..Ni kama unavyozitumia wewe tu, hakuna tofauti!
Wanunuzi wakubwa wa hizi simu ni nchi zilizoendelea kwa sababu makampuni yao ya simu yana plan nzuri zinazowafanya wateja wao walipie pesa kidogo kumiliki hizo simu, tofauti na huku tunanunua cash! Hizo computer za apple nina uhakika wote tunazitamani, tofauti inakuja kwenye UWEZO wa kununua!:Cry:
 
Back
Top Bottom