Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
- Thread starter
- #321
Unaongea kirahisi kama unatengeneza juisi za azam.Huawei haiwezi kufa , Waliona hilo la marekani kabla ndio maana wakawa na OS yao na hivi sasa wanajizatiti upande wa Semiconductors huenda baadae wasinunue tena Chipset kwa TSMC.
Mi nasubiri tar 22 watoe dude lao Mate 40 liwakimbize kama kawaida
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Huawei mwakani anakufa kifo cha mende.
Ni sawa na uwaambie Boeing wanaotengeneza ndege na vifaa vyote ndani ya ndege watengeneze wao.
Hata apple hatengenezi kila kitu kwake ni OS na Chip Set, vingine anaagiza.