Apple Iphone 12 is finally here


Tatizo unaenda na namba tu , tatizo liko hapo . iPhone X ilikuwa na best display in any smartphone kupindi kile ikiwa na pixel density ya 458 , XS pia ilikuwa best ikiwa na 458 pixel density . Issue siyo pixel tu. Calibration ya kioo ni vitu vingi sana. Na ndo hapo Apple anapowakimbiza

Wengine wanakimbia na namba tu hata tecno wana pixel kibao ila hamna kitu
 
kama umeamua kutaja pixels za tecno eneo hili,nitasemaje unadhani?!!!!



Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ina uwezo wa kutumia SD card? Au mule mule?
 
Nifafanulie kuhusu hizo chadger zake zikoje jamani
Cc CHIEF MKWAWA

a nitajikongoja angalau niwe na infinix hizo iphone bei ya kioo ndo yanitisha
 
Mkuu bongo 5G miaka 3 au 10? Kama 3G tu hadi Leo ni mtihani itaja kuwa 5G
3G au LTE imewekwa sehemu ambazo zipo likely kupata wateja wengi.

Kumbuka ile ni investment kubwa na lazima irudishe hela. Kuweka minara ya 3G au LTE porini au vijijini hata wewe ungekuwa MD wa kampuni ya simu ungekataa.

Kwahiyo 5G naona itakuja ikianza kwenye majiji na sehemu zenye wateja wakubwa kwa kampuni husika.
 
Binafsi naona 5G ni gimmick so far.

Ni feature ambayo haitatumiwa na almost 80% ya wanunuzi wa iphone 12.

Labda watasubiri feedback toka kwa wale 20% watakaotumia ili improvement ije kwenye models zinazofuata.

Kikubwa kinachoifanya iphone isubiriwe kwa hamu ni 'uniqueness' kwenye operating system. Ingekuwa samsung wana OS yao peke yao, na wao wangesababisha headline almost sawa na apple ila kwakuwa wao wanatumia android, inawaweka kundi moja na android wote hadi wakina vivo au oppo.

Binafsi naikubali sana one plus. Ila naimiliki iphone ku-complete ecosystem ambayo nimekuwa nayo kwa muda sasa.
 
Nahisi hata hiyo 5G itakuwa maeneo machache sana.
 
nimeona 12pro na 12pro max itakuwa na ram6 gb
,itakuwa hatari.

binafsi nimetumia tizen os kutoka samung z2 2017,kasimu flani kadogo ila kana nguvu na ni laini sio kawaida.kalikuwa na ram 1gb tu ila nyepesi sana.

hii android sijui inamatch na simu gani.labda huawei kidogo ilikuwa inajitahidi.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kinachowapa apple upper hand ni A14 bionic chip ambayo ipo customized zaidi kwa simu na os yao.

Ndo maana hukuti amejaza Rams kwenye simu zake. Hata ram ya 4gb inaweza kuwa na nguvu sawa na baadhi ya android za 8gb.
 
Kinachowapa apple upper hand ni A14 bionic chip ambayo ipo customized zaidi kwa simu na os yao.

Ndo maana hukuti amejaza Rams kwenye simu zake. Hata ram ya 4gb inaweza kuwa na nguvu sawa na baadhi ya android za 8gb.
kabisa,yaani ration ni 1,2.

android wako 12GB apple ndio yuko 6GB.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…