Naweka Youtube App kwenye simu za Huawei

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
781
1,356
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Huawei ambazo hazisupport Google Apps kama Youtube, Playstore, nk, Nimetengeneza solution ya tatizo hilo kwa kukupa app ya Youtube inayofanya kazi vizuri bila kuhitaji Google Play Services.

Achana na ile Youtube Vanced. Hii ni custom Youtube App ambayo nimeitengeneza mwenyewe.

Nicheki PM nikupe namba zangu pamoja na App yenyewe.

1000163889.jpg
 
Back
Top Bottom