Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 612
- 1,130
Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi gani sijui. Kilichotokea ni kupokea sms kutoka namba 0699 065 *** ikinijulisha kuwa kuna mtu alikopa hela na kuniweka mimi mdhamini. Na kwakuwa nilishapata taarifa za hawa watu nikawajibu kistaraabu tu kuwa huyo mtu mnayemsema simjui hivo mtafuteni wenyewe.
Baada ya siku moja akaibuka tena mtu mwingine mwenye namba 0622 297*** huyu yeye tofauti na yule awali alipiga simu hoja zikawa zile zile kuwa nimemdhamini mtu mkopo na amewatapeli hivo nami nimhusika wa huo utapeli. Nikamwuliza unajua sifa za mtu kuitwa mdhamini? Na je kabla ya kukubali kwamba mimi ni mdhamini mlipata consent yangu? kuna mahali nilisaini? Baada ya hapo kilichofuata ni matusi ya nguoni. nilichofanya na kwa kuwa nilitarajia atatukana hivo nilirekodi kila kitu. Baada ya hapo nikaenda kweny App husika iliyotajwa kwa jina la Ustawi Loan, nikapitia privacy Policy nikagundua uhuni mwingi sana kwenye hizi App, uhuni mmoja nikuingilia mawasiliano ya watu, hizi App zinachukuwa taarifa za mkopaji kwa maana ya sms na ku access camera.
Swali ni moja tu kwa nini TCRA imerhusu huu ujinga, yaani usalama wetuuko wapi kama mhuni mmoja kutoka makumbusho akisimamiwa na wachina ana uwezo wa kuingilia mawasiliano ya faragha ya watu kisa kuna mtu amekopa kwao. Fine mtu amekopa kwa nini third party nihusishwe na huu upuuzi.
Haya leo tena mjinga mmoja katuma sms akitumia namba 0789 713 *** huyu naye kajitambulisha eti anatoka PESA CASH naye hoja zake ni zile zile nimejaribu kumwuliza mhusika ulikopa shilingi ngapi na lini? anasema alikopa shilingi elfu 50 wiki moja iliyopita lakini mpaka jumatatu iliyopita alikuwa anadaiwa 130K haya kuhusu hii App ya pili yeye anasema hajakopa chochote kwao lakini wao wanasema wanamdai 168K kwa uchunguzi wangu mfupi nimegundua hizi APP zaidi ya 30 ziko chini ya mwamvuli mmoja.
Ikiwa wako kisheria mimi sina shida nao, shida yangu ni kwa nini TCRA wameruhusu wahuni kuchezea Privacy zetu? Na hawa walivowajinga wanatumia namba walizosajili wao binafsi. Kwa takribani wiki nzima natafuta mawasiliano na TCRA lakini kila nikipiga simu naishia kusikilizishwa mziki tu.
Najipanga kuwashitaki mimi huwa sina issue ndogo very soon mtanisikia nikiwa nao mahakamani. Katika hili wala sihitaji mwanasheria nasimima nao mwenyewe.

Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo
Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
www.jamiiforums.com