Apk ya Dream League soccer 2017

02abda100166fa2e12b669b1858316f9.jpg
445f662669f8c09f6786d1238f193150.jpg
bcf2d5cd7c3a55e4c2ea248dea88666f.jpg
b25c9ff6e37fec6211ced1d904797256.jpg
nilipiga shuti kali mpira ukafuka uwanja ukaenda mtaani
Hatari sana hiyo mkuu naona ulipiga shuti la mwendokasi
 
mkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Hlo lpo poa sana mi nmechukua la sample ya pro evolution soccer(pes 2017) lina ligi zote hdi uefa alf halina haja cjui ya uwanja cjui ya nn lipo fresh sanaa
 
Hakuna kitu ambacho nakichukia kama kuchakachua hizo coins Piga kazi upate coins kiharali upate challenges
Kwenye hili game Coins waliziweka purpose ili watu wanunue wachezaji kwa ku upgrade kikosi kutokana na level za game wao sio wajinga, na kuchakachua coins sio vibaya maana nani akanunue coins kwa dollars ni ujinga sana so nikuchakachua tu coins, game linahitaji coins na ndiyo maana huwezi kwenda stage nyingine kama huja upgrade uwanja kwa coins, kwa ufupi awali kama sijachakachua coins nilishafika level zote ila this time around nimeona ni vyema nitafute coins ili nisajili kikosi chenye kasi, ni raha sana pale unapo piga counter attack
 
Wapenda Rugby hili fanitical American football game ni bomba sana ukicheza hili game utaburudika sana nenda playstore utaliona
46d1d1c8d034b4984cd70acd30fe38cc.jpg
 
1b5c01571dae5ed839b16e91bcdfb8b2.jpg


Napenda sana challenge, siwezi kuchakachua coins wakati uwezo wa kucheza ninao Nna kikosi cha kawaida, Bt toka nianze kucheza DLS najichapia tu wakina Barcelona, RM,ATM,ARSENAL, MAN U etc,ko sijaona umuhimu wa kuchakachua coins.
 
Back
Top Bottom