Apk ya Dream League soccer 2017

Nina kikosi matata,foward pale ninaweka mtu tatu mohamed salah,sadio mane,rahem sterling hawa vijana wana kasi ya ajabu,huwa wananifungia magoli hatari
Njoo online nikutandike mkuu na kikosi cha kawaida ila ukija nakufunga nyingi tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
View attachment 691616
Samahani chief, langu ni kama unavyoona hapo limeanza na com ila game haifunguki... Shida yaweza kuwa nini.
kama alivyokwambia mdau hapo juu hujalifungua hilo file. nenda store search winrar kisha fungua winrar tafuta hilo file lako kisha extract mahala salama then utacopy folder zima na kupaste kwenye obb.
 
mbona mnahangaika sana wakat unaweza download kitu cha 32 kb kikakupa coin kama zote yaan
 
kama alivyokwambia mdau hapo juu hujalifungua hilo file. nenda store search winrar kisha fungua winrar tafuta hilo file lako kisha extract mahala salama then utacopy folder zima na kupaste kwenye obb.

Nimepata hizo... Ila jinsi ya ku extract ni tatizo... Msaada hapo wakuu.
hilo file ni zip inabid uliunzip mkuu na apk inaitwa zip archieve au winrar
 
View attachment 691703
Nimepata hizo... Ila jinsi ya ku extract ni tatizo... Msaada hapo wakuu.
mbona rahisi tu kiongozi!!! click hiyo zarchiver tafuta file ulilodownload hilo zip file kisha fanys extract.ukishindwa kabisa ingia kwenye file manager ya simu yako then tafuta hilo zipi fanya kama unataka kulifungua litakupa option. then utachugua open na hiyo zip archiever.kuna baadhi ya simu zenyewe hazihitaji hii program mfano baadhi ya samsung ukigusa tu hilo file litanza kuji extract .
hapa hili ndio file zip lako

simu yangu sihitaji winrar yenyewe tu nikiclick inakuja hivo nikitendo cha kubonya okey tu

hapa baada ya ku extract na kulimove kwenda android then obb naliacha kwa hapo
 

Nimeamua ku unzip kwa kutumia PC, cjui nitakuwa sahihi???.

Ila nikifungua haiendi zaidi ya hiyo safe mode... Alafu inakata kabisa na app yenyewe inajifunga... Sasa cjui ni cmu yangu au bado nimekosea mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…