eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Nimeipiga man u bao 5 - 0
Link angalia thread zilozopita hapo juu mkuuNgoja ntaleta link mkuu"""
Weka high acha kujitapa ww.Aston villanabeba ndo unbeaten
![]()
Hiyo ni high mkuu"""sijawahi cheza normalWeka high acha kujitapa ww.
Ni magemu tofauti ama ni hilohilo moja,????Mod ya fts 2018.
Umeona mkuuWe tudanganye tu![]()
![]()
![]()
Napiga timu yoyote hata kama ni hard level!!!!! Kuna timu tatu tu huwa natumia..Daaah shikamoo man cty
![]()
Hili game liko real kila kitu hamna vya kugushi umu psg ndo hafungiki kabisa....wako HD tofaut na mod nyingine.
Umefanikisha mkuu????kama bado nambieView attachment 674694 View attachment 674695 Nimezoea njia ya ku install game kwa kutumua either obb or data sasa hili game nimepakua nimekuta na obb na datq at the same time nimefanya kila njia ila nimeshindwa msaada tafadhari.
Really...Haya matimu ya huku hayapigi bali yananyoa.....View attachment 674752View attachment 674754
Kama level ya hard inakusumbua...,jaribu kutumia hizi timu 1.juventus 2.kwa national teams tumia Argentina, usibadili kikosi wala formation 3.FTS & DLS legendary team.....,
Ukishindwa na hapo,bac ww ni zwazwa,hujui kucheza.....






Bado boss wanguUmefanikisha mkuu????kama bado nambie
Poa poa ncheki pm nkupe maelekezoBado boss wangu




Ni FTS 18 kweli hili???
Fts ya mwisho kutengenezwa ni fts 15 haya siku hizi yamefanyiwa manouverNi FTS 18 kweli hili???
Sema hivi ya mwisho kuwekwa playstore ni hiyo....Fts ya mwisho kutengenezwa ni fts 15 haya siku hizi yamefanyiwa manouver