Apk ya Dream League soccer 2017

FTS 2015 hawawez toa game tena kwa kuwa,wataua soko mpka za games nyingine kubwa,za mpira wana staili ya kipekee ya muundo wa game zao zinaweza kuwa updated hata kwa miaka20-15 bila toleo lingine ndomana wamezuiwa kutoa fts nyingine.
 
Ka gemu hizo mkuu??!
 
DREAM LEAGUE & REAL FOOTBALL..hawatofautiani sana hawa watazid toa matoleo mapya kila misimu,pes touch alimanusura waendelee walikomea pes 2012,hii ni baada ya psps simulator kudukua pes real na kuirahisisha katka simu huu ndo ulikua ukomo wa pes....

Nitapataje hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…