Hivi ukicheza championships ukinyanyua ndoo si unspromotiwa kwenda epl???Pass completion sio chini ya 80%
Game hili sura ya ramos tu ndo linaharibu kila kituKanitoa AC Milan kwa penati![]()
![]()
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]kwel lakini mm naangalia competitionGame hili sura ya ramos tu ndo linaharibu kila kitu
YeahHivi ukicheza championships ukinyanyua ndoo si unspromotiwa kwenda epl???
Poa poa mkuuYeah
FWE 18!!!!!! Ndo gemu gani hilo?????Madrid kachezea,za kutosha.
![]()
Hii mitimu ya zamani(classic teams) inagonga boli ni hatare!!!!View attachment 672068
Halafu hili gemu ni gumu mno..
Ila ndo burudani yenyewe si DLS hadi unakimbilia online...
FTS 18Hili game gani kiongozi?
Asanteni wadau nmeipata View attachment 674638
Yeahp mkuuNi offline mkuu?
Mod ya fts 2018.FWE 18!!!!!! Ndo gemu gani hilo?????