Apk ya Dream League soccer 2017

Poa poa mkuu sasa inabidi uswitch mobile data kwa simu yako ili umalize kuinstall game na baada ya hapo ndo ulaunch game"
Ebu ngoja mkuu....,nikiview file mfano hilo la data inakuja ka nikopi Fulani hivi....hapo ndo nakuwa sahihi ama nimekosea???
 
Daaah yan sio poa mkuu mpaka asaiv linasumbua kila nikicheza first half kwenda second haitaki nikataka kucheza competetion mbalimbali halitak lina aandika unfortenatly stopped
Jaribu kwenda kucheza training uone itakuwaje....
 
Hii mitimu ya zamani(classic teams) inagonga boli ni hatare!!!!
Halafu hili gemu ni gumu mno..
Ila ndo burudani yenyewe si DLS hadi unakimbilia online...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…