Apk ya Dream League soccer 2017

Una hack bila shida mkuu... Lakini sio kwa Luckyputcher.

Mimi pia yangu ni ya 2018

Lakini nimeihack bila shida... Coins kibao Tena hapo nimezipunguza Sana kwenye kununua wachezaji na customization kibao.

mkuu nipe maelekezo please mie ni huck ila siwezi kuzitumia wananiambia sina pesa ya kununua mchezaji wakati mapesa ninayo kibao
 
Attachments

  • Screenshot_20171223-101912.png
    264.5 KB · Views: 110
Yeah... Sasa ingia kwenye download.Licopy and paste kwenye data.
Mkuu nimeshadelete first touch profile data ila nikiigoogle profile data for dream league 2018 Google wananiletea download game file na download apk sasa sijui which is which mkuu....
 
Ulihack vipi game?
 
Yeah... Sasa ingia kwenye download.Licopy and paste kwenye data.
Nashangaa simu yangu haicopy kutokea kwenye downloads kama pic inavyoonesha hapo. Nimejaribu kila njia mpaka kuliedit kwenye WPS Office alafu nikalisave kwenye firsttouch games as profile data lakini wapi. Ngoja kichwa kitulie kwanza
 
Mkuu nimeshadelete first touch profile data ila nikiigoogle profile data for dream league 2018 Google wananiletea download game file na download apk sasa sijui which is which mkuu....
Usifute profile data. [emoji117]android[emoji117]data[emoji117]dls[emoji117]profile.dat(futa hiki). Baada ya kufuta profile.dat nenda google download profile.dat ukishamaliza maana yake kitakua kwenye file la download so utacopy then kapaste kwenye file la dls data kwisha habari
 
Hayo yote nimeshafanya mkuu, tatizo hakuna option ya kuicopy kutokea kwenye downloads list na kuipaste kwenye file la first touch games ambalo ni la DSL
 
Wakuu nimeona kuna pes 2018 real face imetoka ina mb 800 ofline kama kuna mtu ambaye ana uelewa juu ya hili game namna ya kulidownload na ku-install
Ingia google, search pirate bay.... Fungua link ya kwanza kabisa kisha search hiyo game na utaweza kuidownload kama ipo... NB:ni lazima uwe na UTORRENT AU BITTORRENT na zote zipo playstore pia.
 
Hayo yote nimeshafanya mkuu, tatizo hakuna option ya kuicopy kutokea kwenye downloads list na kuipaste kwenye file la first touch games ambalo ni la DSL
Mbona inaonekana kama hujaimark ilioption ya kucopy itokee
 
Mkuu ingia kwenye file manager
Naona sijaeleweka. Hapa ni issue ya simu yangu kushindwa kucopy na kupaste kwenye download list kwmba kitu na kidownload fresh ila option ya copy haijitokezi hata nikihilight zaidi ya delete n share.
Sijakata tamaa coz najua there must be a way to make it work. Napumzisha akili kwa hii mechi ya barca na real madrid kwanza lol.[emoji56] [emoji56]
 
Mkuu.

Simu yako ina shida gani?
 
mkuu nipe maelekezo please mie ni huck ila siwezi kuzitumia wananiambia sina pesa ya kununua mchezaji wakati mapesa ninayo kibao
Coins wamekuwekea negative hapo... Ikimaanisha una Deni.

Hiyo Hack Tool uliyoitumia mwanzo sio nzuri.

Fata njia niliyomweleza jamaa hapo juu.
 
Yeah unaweza...

Utaanza upya kuanzia ku select captain.Lakini hela unakua nayo zaidi ya hiyo uliyoikuta kwa jamaa.
Mbona campten ninae mwingne au unamaanisha ni resete record ila inaniambia nitarudishwa mwanzo na nitalooz coins inakuaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…