Apk ya Dream League soccer 2017

Alafu wakuu nahitaj msaada hivi kwa mfano umempa mchezaj pasi ikatokea ukapress shoot au long pass kwa bahat mbaya je ni kitufe gan ubonyeze kwa haraka ili ubadili lengo la kwanza mfano ubadili shoot iwe pass
 
Alafu wakuu nahitaj msaada hivi kwa mfano umempa mchezaj pasi ikatokea ukapress shoot au long pass kwa bahat mbaya je ni kitufe gan ubonyeze kwa haraka ili ubadili lengo la kwanza mfano ubadili shoot iwe pass
Ili mradi tu mpira uwe umepiga sehemu aliyopo hata kama ni pass shoot inamfikia
 
naona wamefanyia kazi swala langu, nimelalamika sana kumbe ni wasikivu sana
 
Ila game bado speed sio kali inatakiwa wachezaji wawe na kasi ya light
Alooo mi wangu ni hatari tupu
Speed zaidi ya kimondo "online competition"


Aina ya wachezaji

Mabeki warefu kimo
Viungo saizi ya kati kimo
Washambuliaji mchanganyiko

Formation nzuri

Winger
Bale
Sterling
RONALDO

CF
Makienok
Traole
Colubali


Yana nguvu na speed ya ajabu yakiwa na mpira
 
Daaaàah hatariiii umemsahau neymar
 
Fomeshen gan hyo mkuu maana hapo kwakina bale naona ni viungo afuu afuu wanafata colibaly ma fowad au nimeeelewa tofaut
 
 
Umewasahau Sanchez, neymar, modric, bale, mane, david luis, willian teh teh teh wana speed mbaya
 
Ila kwenye game raha yake muwe mnafungana sio kila siku ushinde wewe......sasa ndugu hicho kikosi uwanjani kweli unampinzani wewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…