Apk ya Dream League soccer 2017

[emoji23][emoji23] hatariii sana mkuu"""mimi online mechi 200 nimeshinda 130 draw 20 vipigo 50
 
[color_red]huku saiz nimepotean cm yngu nimeibiwa namith sana game hili lakn i will be back soon
 
Hadi sasa nimecheza michezo elfu moja mia tano
Yesu na Maria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimecheza michezo 65 nipo Tier ya 4 na nkmebakiwa na michezo 3 niwe bingwa nije tier 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kufikia michezo 120 ntakua tier 1[emoji119]
 
jamani kama kweli mtu ni mjuzi wa mpira basi cheza pes + ft 2018 acha kabisa nimoto wa kuotea mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…