Apk ya Dream League soccer 2017

fungua ilo game kuna option ya Customize itakuwa kama hapo juu then click izo logo za league
duh sijui game langu liko tofauti! au ni aina ya simu.maana ukisha andika jina la kocha wanakuletea option ya kuchagua league .nyingine zote zipo ila moja tu ya uingeleza ndo haipo
 
duh sijui game langu liko tofauti! au ni aina ya simu.maana ukisha andika jina la kocha wanakuletea option ya kuchagua league .nyingine zote zipo ila moja tu ya uingeleza ndo haipo
logo ya premier league haipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…