Apk ya Dream League soccer 2017

Nioneshe km umewahi kupata.... top form point... unstopabble point... na iyo no one like

Sent from "La -Vista"
Kumbe umeshamjibu hahahahaha, na mimi nime quote hivyo hivyo alete hizo points...... Inawezekana anafunga magoli mengi ila hajawahi funga all games
 
Me huwa napataga bonus za ajabu saaana... ila nashindwa kupigaga screenshot sumsung inahitaji timing saana... ningekua nawaletea vitu had mshangae.....


Ok aliyeko online now... karibu.. team la vista fc

Sent from "La -Vista"
 
Hatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri

Mkuu hizi game unacheza bila pad? Kama ndio unaweza niunga ili nipate nami hizo game
 
pes leo wametangaza pro evolution soccer 2017 inakuja android mwishoni mwa mwezi huu.



ngoja tuone wazee wa uefa wana nini

Mkuu hili game vipi ni offline na vipi ubora wake ni kama pes 2012 ahsanteh na naomba nisaidie link nilipakue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…