Apk ya Dream League soccer 2017

Mkuu huwa unanifurahisha sana na uchakachuaji wa coins
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-13-07-09-12.png
    111.6 KB · Views: 51
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-22.png
    111.6 KB · Views: 48
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-36.png
    115.7 KB · Views: 51
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-50.png
    114 KB · Views: 61
Usijenge uwanja mpaka mwisho wa league, na mwisho wa league watakupa option ya to upgrade uwanja na pale chagua auto upgrade..
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Mzee wa kuchakachua

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Uko vizuri mkuu, naona ulishindwa kuvumilia ukaona ujiunge na team kuchakachua coins

Sent from my MediaPad M1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Nimelifuta game nililo chakachua nimeanza upyaaa bila hacked coins, real man do not cheat on tough game lets do it, lets face new challenges from amateur level
 
Nimelifuta game nililo chakachua nimeanza upyaaa bila hacked coins, real man do not cheat on tough game lets do it, lets face new challenges from amateur level
Hongera mkuu,hivi ukitaka kuanza na upya ni unabofya pale kwenye restart au unafanya ku uninstall na ku install upya kabisa
 
Hongera mkuu,hivi ukitaka kuanza na upya ni unabofya pale kwenye restart au unafanya ku uninstall na ku install upya kabisa
Ahsante mkuu, mimi nili unstall ili nifute lile la kuchakachua coins, nilichakachua coins mara ya kwanza nilikua na coins million, sasa nimeanza upyaa nilimiss kupata challenges... Maana la kuchakachua nilikua nafunga goal 12 nakuendelea kila match sijawahi shuka zaidi ya hapo..... Karibu amateur Frega
 
Pamoja mkuu toxic9,kuna video nimeiona pale you tube kumbe ukirestart unaanza na moja kabisa unapoteza wachezaji hadi uwanja na rekodi zote. Ninaipenda amateur lakini kwasasa nakazana kupata coins ili nifanye player development kuna achievements bado sijazifikia na ninapenda kuzipata zote ndipo nitarestart
 
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] nakungojea huku amature ni mwendo mdogo mdogo, ni raha sana, sijawahi kuwa bored na hili game frega, muulize issac amefikia wapi maana kachakachua game basi anatusumbua na mess wake
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Issac bwana alikuwa mwenzangu kabisa post zake alikuwa anapinga uchakachuaji mara ghafla he!si amekuwa kinara wa uchakachuaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Issac bwana alikuwa mwenzangu kabisa post zake alikuwa anapinga uchakachuaji mara ghafla he!si amekuwa kinara wa uchakachuaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Uchakachuaji haujawahi muacha MTU salamaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rudi nyumbani "team no kuchakachua/no uchakachuaji"
 
Nawaomba online leo nipo free nipige mtu goli Emanuel FC

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…