Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

9569fbadc029fb98a0b879b82c1b0ae3.jpg


Hatimayeee nmecheat COINS millions kadhaaa

Ahsante GAME GUARDIAN

LUCKY PATCHER MIYEYUSHOOO
Naona umegundua bila kuwa na coins bado game linapoteza ladha
 
Bro njia nzuri niliyotumia niliingia YouTube nikasearch "How to get unlimited coins in DLS17 using GAME GUARDIAN"

HATUA KWA HATUA WANAKUELEKEZA
NA NI SIMPLE ZAIDI YA LUCKY PATCHER MKUU

kwa maelezo nitakayo kupa hutaelewa Bt video inajieleza yenyewe na utakua unaona hatua kwa hatua jamaa wa kwenye video anavyofanya coz kuna vi hatua ni lazima upite
9c19ea213325a5f84a21d075cbfe113d.jpg
Angalia video YouTube
 
Hahaha hivi baada ya div1 unaenda wapi?
Ukitoka div 1 unaingia junior Elite div baada ya hapo unaingia Elite div ambako ndio baba lao huku timu BABE zote za dunia unazikuta huko

hatari sana Elite div mpira mwingi balaaaa
 
Wakuu maelekezo jinsi ya kudownload FIRST TOUCH SOCCER 17
 
a2ea2bb9f7b4797e41ed9e0aca69d062.jpg
0a3bc06700fa65fb52a30d4ec76679ef.jpg
c980d932903cadc934ee6135466d9b1d.jpg
1abcf32499e597b2dd82980c54eb7dc5.jpg

Ni mashuti tu mpaka kipa anaona wenge, pogba alikandamiza shuti mpira ukagona besela ukaenda juu kabisa, raha sana game linavutia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom