Ww umefanyaje mbona lipo fresh tuuuu,,, tena kila ukishinda unapanda level mm saiz nipo level ya 9 ni balaa huko ukishinda two match zingine kichapo tuu n offline game halihitaj access ya net wala nn,Hili game bado sijalielewa, tayari nime_download lakini bado nashindwa kupata utamu nao upata kwenye DLS.... Njoo mkuu utoe ufafanuzi uzuri wa hili game kabla sija unstall
Hapana kaka,halihitaj access ya net ,,yaan humu league au mashindao yote ya Mpira yapo ndo raha yakeeUmekua muwazi mkuu safi, kweli hili game linataka ucheze wakati lina access na internet.... Bado halijawa na uzuri kama DLS
Umeona eee chiefkila game lina uzuri wake na ubaya wake hata dream league lina mapungufu tena mengi tu, mfano unaweza eka tactics za kupaki basi (defensive) na kujaza mabeki kibao, ila muda wote ukafungwa magoli ya counter attack.
kucheza na internet sio issue kubwa sababu linahitaji internet ukimaliza mechi, na sio wakati unacheza, kilichoniboa mimi ni usajili, unawekeza hela zako then wakati wa usajili ni bahati nasibu inapita mipira kwa kasi unachagua mmoja then unafunguka unakuta mchezaji, unaweza poteza hela kibao usipate mchezaji mkubwa.
na wacheza wana mikataba mifupi, unakuta mechi 10 tu mkataba unaisha,
Mkuu naomba maelekezo jinsi ya kuinstall ili game mi zp inanisumbua
Nilijua hadi uwe na net,kama ndo ivyo basi ni zuri maana konami huwa hawakosei,,napenda sana kucheza uefa mkuuHapana kaka,halihitaj access ya net ,,yaan humu league au mashindao yote ya Mpira yapo ndo raha yakee
Download play store file linaitwa ES explorer file then ni PMMkuu naomba maelekezo jinsi ya kuinstall ili game mi zp inanisumbua
Huko kaka kila aina ya league mpka league daraja LA piliNilijua hadi uwe na net,kama ndo ivyo basi ni zuri maana konami huwa hawakosei,,napenda sana kucheza uefa mkuu
Samaani naomba nikuchek wasap napenda sana ilo game namba yangu ni hii 0712514557...naomba na yakoDownload play store file linaitwa ES explorer file then ni PM
Mkuu namba yangu hii naomba unichek whatsap 0712514557Huko kaka kila aina ya league mpka league daraja LA pili
napenda sana kuedit,weka jina yanga,wachezaji yanga,jez yanga...halafu naanza kupiga watu uefa...Huko kaka kila aina ya league mpka league daraja LA pili
kila game lina uzuri wake na ubaya wake hata dream league lina mapungufu tena mengi tu, mfano unaweza eka tactics za kupaki basi (defensive) na kujaza mabeki kibao, ila muda wote ukafungwa magoli ya counter attack.
kucheza na internet sio issue kubwa sababu linahitaji internet ukimaliza mechi, na sio wakati unacheza, kilichoniboa mimi ni usajili, unawekeza hela zako then wakati wa usajili ni bahati nasibu inapita mipira kwa kasi unachagua mmoja then unafunguka unakuta mchezaji, unaweza poteza hela kibao usipate mchezaji mkubwa.
na wacheza wana mikataba mifupi, unakuta mechi 10 tu mkataba unaisha,
1. umecheza pes 2017 kama hujacheza usifanye comparison ya kitu usichokijuaMkuu hapo nilipo weka rangi, utachekwa yani kufungwa dls ndiyo mapungufu ya game au mapungufu ya game player teh teh teh teh wewe jamaa una vituko kweli, hayo hayawezi kuwa ni mapungufu banah tafuta jambo lingine, DLS ni the best game kati ya yote kwenye simu, game zuri ni lile linalo kupa changamoto sasa wewe kufungwa unachukulia kama ndiyo mapungufu ya game, mimi natumia 3:4:3 formation kwenye dls lakini nafunga magoli hadi kumi inspite na challenge ya timu pinzani lakini i can handle them sasa unaweza ona hapo beki zangu nimeweka wachezaji watatu tu nyuma lakini huo mziki wangu wa gonga ni hatarishi
PES2017 sio game tupa kule, sasa kma mtu upo sehemu kwenye shida ya internet huwezi access game
Hlo la gari linaitwaje
me nmefika tier 11. umecheza pes 2017 kama hujacheza usifanye comparison ya kitu usichokijua
2. nimepost screenshot nimeshinda goli 28 mechi 1, probably hujawahi pata huo ushindi, mimi naweza kaa misimu kibao sijafungwa ligi ya kawaida hata goli 1 nashinda magoli 10+ kwa bila.
ninachozungumzia hapo ni tactical na hio ni weakness moja nakupa zipo weakness nyingi tu ukitaka nitakuekea ninazoziona nikicheza game, na huwezi jua hizo weakness mpaka ucheze multiplayer na wenzako wanaojua, upo daraja la ngapi kwenye multiplayer?
game gan ilo mkuuMBONA GAME IPO FRESH TU WATU WANASEMA MPKA ACCESS YA NET ,HAPANA MM OFFLINE TU NACHEZA HII GAME,,CR7 MNYAMA YUPO NDAN ANANIFANYIA MAMBO
tuma link bro mi nlidownload ila alichezWw umefanyaje mbona lipo fresh tuuuu,,, tena kila ukishinda unapanda level mm saiz nipo level ya 9 ni balaa huko ukishinda two match zingine kichapo tuu n offline game halihitaj access ya net wala nn,
Hili raha YAKE n kwamba league zote zipo na mashindano yote dunian yapo ,unaweza edit team yako,logo,kit na kadharika kama kweny DLS tuu
Mm saiz nipo UEFA CHAMPION LEAGUE NACHEZA
Pes 2017 ni uchafu tu kama unalipenda basi hujajua game nzuri, nimesha unstall muda tu sioni la umuhimu kuendelea kukaa nalo, wewe umesema DLS lina mapungufu mengi tu sasa hoja yako kuu ni hiyo Kwamba huwezi kupaki basi kwamba utafungwa tu sasa hapo umeongea nini mapungufu kwenye kufungwa? halafu nilitegemea ukijibu ungetaja mapungufu, badala yake unakuja kuniuliza nimecheza pes2017?dls ndiyo game lenye kupendwa zaidi kwa kuwa ni bora zaidi hata rate kaangalie playstore utaona DlS limepewa high recommendation rate than Pes 2017 nenda playstore usibishane na mimi.1. umecheza pes 2017 kama hujacheza usifanye comparison ya kitu usichokijua
2. nimepost screenshot nimeshinda goli 28 mechi 1, probably hujawahi pata huo ushindi, mimi naweza kaa misimu kibao sijafungwa ligi ya kawaida hata goli 1 nashinda magoli 10+ kwa bila.
ninachozungumzia hapo ni tactical na hio ni weakness moja nakupa zipo weakness nyingi tu ukitaka nitakuekea ninazoziona nikicheza game, na huwezi jua hizo weakness mpaka ucheze multiplayer na wenzako wanaojua, upo daraja la ngapi kwenye multiplayer?