Apk ya Dream League soccer 2017

NIMESHA ACHANA NA DLS SASA NIPO NA REAL GAME ,NJOEN HUKU NAKO KUNARAHA ZAKE
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-09-22-50-30.png
    661.2 KB · Views: 62
  • Screenshot_2017-06-09-18-30-38.png
    621.8 KB · Views: 64
  • Screenshot_2017-06-09-18-27-55.png
    608.2 KB · Views: 62
NIMESHA ACHANA NA DLS SASA NIPO NA REAL GAME ,NJOEN HUKU NAKO KUNARAHA ZAKE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni mvua ni maweeee?????[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nimechukua kombe lakn kwa kipigo maan hawa man city co watu wa mchezo mchezo
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-12-13-05-03.png
    720.9 KB · Views: 61
Mara baada ya ku update game toka ile ya 2016 to 2017 sasa naona raha imeongezeka zaidi, kuna changes nyingi kwenye hii version mpya mfano kuchagua logo na nimeona unaweza kuangalia matangazo bila kikomo kuliko ilivyokuwa mwanzo kuna wadau nawatafuta tucheze online ili iwe challenge zaidi
 
Hizi ni baadhi ya rekodi mpya vikombe nimechukua vyote pamoja na kuifunga timu yangu ila nilivuruga kikosi wakachanganyana vyema then mimi nikakipanga upya baada ya mechi kuanza
 

Attachments

  • 1497624142136.png
    144.6 KB · Views: 56
  • 1497624156452.png
    159.9 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…