Apk ya Dream League soccer 2017

Kuna swala la muda pili nadhani na ushamba nao ila nimefika bila kuchakachua coins na pia naenjoy kwasasa
Hakuna kitu ambacho nakichukia kama kuchakachua hizo coins[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Piga kazi upate coins kiharali upate challenges
 
mkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Hlo lpo poa sana mi nmechukua la sample ya pro evolution soccer(pes 2017) lina ligi zote hdi uefa alf halina haja cjui ya uwanja cjui ya nn lipo fresh sanaa
 
Hakuna kitu ambacho nakichukia kama kuchakachua hizo coins[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Piga kazi upate coins kiharali upate challenges
Kwenye hili game Coins waliziweka purpose ili watu wanunue wachezaji kwa ku upgrade kikosi kutokana na level za game wao sio wajinga, na kuchakachua coins sio vibaya maana nani akanunue coins kwa dollars ni ujinga sana so nikuchakachua tu coins, game linahitaji coins na ndiyo maana huwezi kwenda stage nyingine kama huja upgrade uwanja kwa coins, kwa ufupi awali kama sijachakachua coins nilishafika level zote ila this time around nimeona ni vyema nitafute coins ili nisajili kikosi chenye kasi, ni raha sana pale unapo piga counter attack
 
Wapenda Rugby hili fanitical American football game ni bomba sana ukicheza hili game utaburudika sana nenda playstore utaliona
 


Napenda sana challenge, siwezi kuchakachua coins wakati uwezo wa kucheza ninao[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] Nna kikosi cha kawaida, Bt toka nianze kucheza DLS najichapia tu wakina Barcelona, RM,ATM,ARSENAL, MAN U etc,ko sijaona umuhimu wa kuchakachua coins.
 
Mwrnye link ya kudownload games za pes kwenye PC anipeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…