Ngoja niku PM
Yan jinsia tu ndo hadi pm lol
Sas kwani kazi ya PM ni nini mkuu
Kwaajili ya mambo private
Basi naomba niliprivatise hili suala la jinsia yangu kwa kukuambia PM mkuu
Kazi ya PM ni kuweka hela, kama vile wallet itumikavyo Khantwe.
Mambo mengi ambayo hayafai kuwekwa hadharani kwenye jukwaa yanazungumzwa kwenye PM.Binafsi imenisaidia sana.Na ndio maana kuna sheria hapa JF inakataza PM kuwekwa hadharani.True ndugu yangu PM is the greatest facility here at JF. Na by the way, hakuna mtu tofauti aliyegundua PM, ila ni programmers haohao wa software hii ya Forum; vbulletin.PM imewapa watu wachumba, imewapa one-night stand, PM imewapa watu wafadhili wa masomo..kupitia PM watu wamenegotiate biashara, PM imewafanya watu wawe karibu zaidi binafsi binafsi, Pm imewapa watu mambo ya siri amabyo huwezi yaona kwenye post na thread za kawaida. PM ndani ya JamiiForum ndio the best feature ever innovated, apewe hongera aliyebuni hii kitu.
Daaa!! Haya bana!Pm imenipatia Mume
What is PM jaman