beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
George Mbuga, Mkazi wa Urambo Mkoani Tabora amefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kujisingizia amefariki Dunia ili alipwe mafao yake kwa mkupuo
Anadaiwa baada ya kustaafu alipaswa kulipwa fedha kwa awamu tano, ila alitumia njia ya mkato na kuzuga amefariki
Mbuga na wenzake wanne akiwemo Mtumishi NSSF wanashtakiwa kwa makosa nane likiwemo la kuandikisha tukio la kifo Ofisi ya Kitongoji na kupeleka nakala kwa Msajili wa Vizazi na Vifo wakiambatanisha na muhtasari wa kikao cha Ndugu wa Marehemu feki (Mbuga) ili apate mafao kwa mkupuo