Apewa kesi ya Uhujumu Uchumi kwa kusingizia amekufa ili alipwe mafao kwa mkupuo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
George Mbuga, Mkazi wa Urambo Mkoani Tabora amefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kujisingizia amefariki Dunia ili alipwe mafao yake kwa mkupuo

Anadaiwa baada ya kustaafu alipaswa kulipwa fedha kwa awamu tano, ila alitumia njia ya mkato na kuzuga amefariki

Mbuga na wenzake wanne akiwemo Mtumishi NSSF wanashtakiwa kwa makosa nane likiwemo la kuandikisha tukio la kifo Ofisi ya Kitongoji na kupeleka nakala kwa Msajili wa Vizazi na Vifo wakiambatanisha na muhtasari wa kikao cha Ndugu wa Marehemu feki (Mbuga) ili apate mafao kwa mkupuo
 
Kuna wakati mwingine neno msamaha ni la kuangalia kwa undani, mtu kama huyu si wa kusamehe tu! Kachika huyu alitaka aanzishe mradi wa kuku
 
Hizi zama sio za uongo tuachen ujanja ujanja
George Mbuga, Mkazi wa Urambo Mkoani Tabora amefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kujisingizia amefariki Dunia ili alipwe mafao yake kwa mkupuo

Anadaiwa baada ya kustaafu alipaswa kulipwa fedha kwa awamu tano, ila alitumia njia ya mkato na kuzuga amefariki

Mbuga na wenzake wanne akiwemo Mtumishi NSSF wanashtakiwa kwa makosa nane likiwemo la kuandikisha tukio la kifo Ofisi ya Kitongoji na kupeleka nakala kwa Msajili wa Vizazi na Vifo wakiambatanisha na muhtasari wa kikao cha Ndugu wa Marehemu feki (Mbuga) ili apate mafao kwa mkupuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ni zake.

Kafanya kazi mwenyewe na kavumilia manyanyaso yote mpaka kastaafu.

Pesa zake kumpa mmemdhulumu.

Kadanganya ili apate haki yake ( Kidiplomasia )

Bado mmeona haitoshi, mmeona akafie JELA.

Nchi Takataka sana hii.

Halafu MiCCM yenyewe na watoto wao hapo inaendelea kula, kusaza na kugonga mvinyo na ikijistaafisha inachukua pesa zao zote kwa MKUPUO.

Pole sana mtumishi.
 
... Kakosea sana hilo tukio kulifanyia kijijini.. Kule hakuna siri kabisa kwakuwa watu wote wanafahamiana
George Mbuga, Mkazi wa Urambo Mkoani Tabora amefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kujisingizia amefariki Dunia ili alipwe mafao yake kwa mkupuo

Anadaiwa baada ya kustaafu alipaswa kulipwa fedha kwa awamu tano, ila alitumia njia ya mkato na kuzuga amefariki

Mbuga na wenzake wanne akiwemo Mtumishi NSSF wanashtakiwa kwa makosa nane likiwemo la kuandikisha tukio la kifo Ofisi ya Kitongoji na kupeleka nakala kwa Msajili wa Vizazi na Vifo wakiambatanisha na muhtasari wa kikao cha Ndugu wa Marehemu feki (Mbuga) ili apate mafao kwa mkupuo

Jr
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom