Aomba talaka kisa kapata kazi

Aomba talaka kisa kapata kazi

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
944
Reaction score
1,628
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.

Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.

Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.

Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
 
Kaa mbali na ndoa za watu mkuu hioo n cancer

Siri wanazijua wenyeweee hapa umekuja na Uzi WA talaka wakifika Baraza wanaungana kama sio waoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom